Jkt kwa mujibu wa sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jkt kwa mujibu wa sheria

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHUAKACHARA, Jul 14, 2011.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  Ndugu waziri wa Ulinzi, (na serikali kwa ujumla) tafakari zaidi kabla ya utekelezaji wa Mujibu wa sheria JKT. Kutokana na hali ya uchumi ulivyo, itakuwa vigumu kuwalea watoto wetu huko jeshini, sana sana ni kuwatesa na kuwa-subject kwa maafande kufanya nao ngono. tasfakari zaidi. Tuhangaike na kuboresha JWTZ kwanza. Kama uzalendo na utaifa wanafundishwa sana mashuleni. Sidhani kama inasaidia kuleta uzalendo, mafisadi wote wamepitia JKT!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
Loading...