Chadema na CCM wanawakati mgumu sana uchaguzi mdogo Igunga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na CCM wanawakati mgumu sana uchaguzi mdogo Igunga.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Apta Kayla, Jul 14, 2011.

 1. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CCM: Kwa sababu ya 'siasa zao uchwara' wamesababisha mbunge kipenzi wa wananchi wa Igunga ajiuzulu.
  CDM: Walikuwa wa kwanza kumtangaza RA fisadi, wameendelea kumbana na kuibana Serikali imfikishe mahakamani kwa kumuhusisha na wizi wa Fedha za EPA kupitia Kagoda, msukumo ambao umepelekea wana CCM wamtake ajivue gamba, hivyo basi CDM wamechangia kwa kiasi kikubwa RA kujiuzulu.
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo? Wakati mgumu utatokana na nini? Uchaguzi wowote ni mgumu.
   
 3. A

  Apta Kayla JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 326
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unatokana na hayo yaliyoelezwa hapo juu. Si kila uchaguzi ni Mgumu kwani ktk chaguzi nyingine tofauti ya ushindi huwa 80_90%.
   
 4. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  moja mara moja ==============ndio nini?
   
 5. N

  Nyampedawa Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Inawezekana CCM wakawa na wakati mgumu kama kweli alikuwa kipenzi chao. Kwa upande wa CDM sidhani kama wana wakati mgumu kwa vile sasa wananchi wanaweza kuunganisha ugumu wa maisha na ufisadi.
   
 6. KISIRIRI

  KISIRIRI Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nawahurumia sana hawa c.c.m wanapoteza maimbo yote ya mapacha wa3 yanaenda CDM ,hasa hili la igunga mh zito ameshasema mapema
   
 7. m

  marmoboy Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leopold maona goooooooooooooooooooo! Go go! Huna mpinzani igunga labda cdm wakukodishe.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ndio nani?? Na chama gani?
   
Loading...