Swali: chadema tutoke vipi pale Igunga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali: chadema tutoke vipi pale Igunga?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Idimulwa, Jul 14, 2011.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hivi kweli wana cdm twaweza tumia mbinu zipi tukaweza kulitwaa jimbo la Igunga? Wana igunga wameonyesha chuki za wazi dhidi ya ccm kuwa siasa za fitina ndani ya chama hicho tawala zimepelekea mbunge wao kipenzi RA kubwaga manyanga na siye cdm tuna tuhumiwa kuwa vita yetu ya dhidi ya ufisadi ukizingatia kuwa naye alikuwemo kwenye list of shame ya kamanda dr.slaa tumechangia tena kwa asilmia kubwa kuporomoka kwa RA?

  Wakuu nawasilisha.
   
 2. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Aproach bado ni ile ile taifa kwanza,mafisadi hakuna kuhurumiwa.Hakuna kumpamba ra eti kipenzi chao
   
Loading...