Shibuda kufanya ya Mpendazoe

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Hizi ni tetesi,...
kwamba shibuda anaweza kujiuzuru ubunge na kuipondea chadema
kwa sana ili apate nguvu za kurudia ccm tofauti na pale atakapo
ondoka chadema kwa kufukuzwa,...

Its time,either chadema wapate pigo la kupewa madongo na kushushiwa hadhi
yake au chadema imfukuze mapema na kuonekana inasimamia kile inacho amini.

Inasemekana atachukua uamuzi huo mda wowote atakapo gundua
sekunde zake ndani ya chadema ni chache,game of chance.....
 
Shibuda ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema, na wanaompa kichwa ni hao hao CCM. Kwa mtazamo wake anaona akijiuzuru Chadema na kugombea tena ubunge kupitia chama chake cha zamani cha CCM atashinda, na akumbuke mambo yanaweza mwenyea vibaya, maana wananchi wa leo si wa jana, wengi wameamka watakuja mshtukia na msimamo wake usiotulia.
 
CDM achaneni na kufukuzana badala yake simameni pamoja mjiandae na uchaguzi mdogo wa Igunga. Campaign manager wa mgombea wa CDM awe Mh. Shibuda
 
huyu ni wa kupiga chini haraka nilikwisha mwona tangu zamani. Mpende msipende Zitto naye ni hatari sana wakati wowote hasa siku za mbele ataleta fukuto kubwa CDM tumwangalie kwa jicho la ndani zaidi ana personal ambitions ambazo ni kama time-bomb!
 
  • Thanks
Reactions: oba
hatuna sababu za kubembeleza mpumbavu mmoja,alwayz chadema nikusimamia ukweli na haki sawa .kumtimua huyo ***** sio kwamba tunataka sifa au kujionesha kwa magamba,chadema wote wanaelewa kila kinachoendelea kwenye hii nchi.alfu jamani mkae mkijua kua mtanzania wa leo sio wa mwaka arobaini na saba.upupu anaoongea shibuda hakuna asie ujua.ni suala la kusubiri na kuona.
 
ni kweli kwanza nimeipenda , pili naomba afukuzwe chamani hafai ni mnafiki mungu wafungue viongozi wangu wa chadema wamtoe baruti huyu jini shibuda. nahisi ni gamba ....... huu ni mtazano wangu
Hizi ni tetesi,...
kwamba shibuda anaweza kujiuzuru ubunge na kuipondea chadema
kwa sana ili apate nguvu za kurudia ccm tofauti na pale atakapo
ondoka chadema kwa kufukuzwa,...

Its time,either chadema wapate pigo la kupewa madongo na kushushiwa hadhi
yake au chadema imfukuze mapema na kuonekana inasimamia kile inacho amini.

Inasemekana atachukua uamuzi huo mda wowote atakapo gundua
sekunde zake ndani ya chadema ni chache,game of chance.....
 
Shibuda ni pandikizi la CCM ndani ya Chadema, na wanaompa kichwa ni hao hao CCM. Kwa mtazamo wake anaona akijiuzuru Chadema na kugombea tena ubunge kupitia chama chake cha zamani cha CCM atashinda, na akumbuke mambo yanaweza mwenyea vibaya, maana wananchi wa leo si wa jana, wengi wameamka watakuja mshtukia na msimamo wake usiotulia.
hao ndo wale wanafiki.
 
Shibuda hafai kuwa mbunge popote kwa kupitia chama chochote.Ni vyema sasa tuelewe kuwa Mbunge mwema anawajibika kwa watu waliomchagua pasipo kuegemea interest binafsi na kulinda maslahi ya wachache ndani ya chama.Shibuda ni selfish na hagusi na matatizo ya watu.Afukuzwe chadema na asipewe uanachama kokote.
 
au ndiyo sababu ya JK kuchelewa kutangaza wakuu wa mikoa ili atakapojiondoa cdm na kushindwa ubunge kupitia ccm wampe ukuu wa mkoa wa shinyanga ili ba balele asogezwe mwanza ilhali kandoro akirudi nyumbani kwa dar?
 
Hizi ni tetesi,...
kwamba shibuda anaweza kujiuzuru ubunge na kuipondea chadema
kwa sana ili apate nguvu za kurudia ccm tofauti na pale atakapo
ondoka chadema kwa kufukuzwa,...

Its time,either chadema wapate pigo la kupewa madongo na kushushiwa hadhi
yake au chadema imfukuze mapema na kuonekana inasimamia kile inacho amini.

Inasemekana atachukua uamuzi huo mda wowote atakapo gundua
sekunde zake ndani ya chadema ni chache,game of chance.....
Mkuu sio rahisi unavyodhania, na hata kama wakimfukuza kwa kosa gani hasa? hapo ndipo mahakama itakapo amua kama kafanya kosa linastahiki kutimuliwa na kuwaondolea wana maswa mwakilishi wao
 
Igunga na Nzega kuna WANYAMWEZI wa Dakama (yaani Kusini) na ukienda Mwanza/Shinyanga unawakuta Wanyamwezi wa SUKUMA (yaani Kaskazini). Siku nyingine acha kudandia mambo usiyoyajua. Utakuja kumvua chupi mama mkwe bure!!!
Tabora na Shinyanga wote si wasukuma? Kuna shida gani msukumu mmoja kuwa campaign manager wa msukuma mwenziwe?
 
Shibuda hafai kuwa mbunge popote kwa kupitia chama chochote.Ni vyema sasa tuelewe kuwa Mbunge mwema anawajibika kwa watu waliomchagua pasipo kuegemea interest binafsi na kulinda maslahi ya wachache ndani ya chama.Shibuda ni selfish na hagusi na matatizo ya watu.Afukuzwe chadema na asipewe uanachama kokote.
Nahakika humjui Shibuda na wananchi wake, kwa taarifa tu wananchi wa maswa hawachagui chama wanachagua mtu, hivyo basi wanao mchagua wanamjua vizuri kuliko wewe unayemona hafai, tujifunze kukubali tofauti zetu za mitazao
 
Back
Top Bottom