Vipi Muafaka Arusha na sakata la Shibuda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi Muafaka Arusha na sakata la Shibuda?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zomba, Jul 14, 2011.

 1. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wanazi wa chadema napenda kujuwa mmefikia wapi kuhusu:

  1) Muafaka wa Arusha na wakili wenu bwana Marando uchunguzi wake umefikia wapi? au maji ya shingo? maana nilisikia Maalim Seif katika mahojiano yake akihoji, kuhusu hili kuwa na chadema na wao ni chama tawala Arusha kwa kufikia "muafaka" na ccm? Kama ilivyo cuf Zanzibar.

  2) Shibuda vipi, kawakaa kooni? nna uhakika hamna cha kumfanya ingawa kawapinga wazi wazi katika ubishani wenu wa posho na kabla ya hapo tuliona akihudhuria hafla ya Rais siku mliomsusia bungeni, mchana mmesusa kumsikiliza, usiku mkasusa kwenda kwenye hafla yake lakini Shibuda akawaambia No. mie nakwenda.

  Sasa tujuzeni kuhusu hilo la Arusha, jee, muafaka ulikubali kuwa kesi za Mwenyekiti na wenzake zifutwe kwa kufikia kwenu muafaka au?
   
Loading...