Count down on Mzee wa Monduli

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,188
79,417
Tunamngojea mzee wa Monduli Ndg EL ajivue gamba naye! Patamu hapo......pples...!
 
Tanzania inapoelekea tunaanza kuuona mwanga kwa mbaaaaali, mdogo mdogo tutafika. Hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
naskia yupo Arusha akijiandaa kwa tutegemee chochote wiki hii...
 
RA amefanya hili ili kumpa JK nguvu nma kumtegea Mamvi ila sasa mamvu mzoefu na aan ngozi ngumu hawezi kucheza ngoma ya RA .Kama huamini you wait and see .Lowasa ana heshima kubwa ndani ya CCM kuliko JK .Mfano uliona juzi akichangia ni makofi hadi anakaa chini .Now wait and see ngoma nzito .

Hongera Slaa umeweza baada ya muda mrefu sana list of shame .
 
Juzi katoa milioni ngapi Bakwata vile?
 
RA amefanya hili ili kumpa JK nguvu nma kumtegea Mamvi ila sasa mamvu mzoefu na aan ngozi ngumu hawezi kucheza ngoma ya RA .Kama huamini you wait and see .Lowasa ana heshima kubwa ndani ya CCM kuliko JK .Mfano uliona juzi akichangia ni makofi hadi anakaa chini .Now wait and see ngoma nzito .

Tulishawaeleza hapa JF kuwa makofi yote aliyopigiwa Lowassa Bungeni yalikuwa yamelipiwa fedha. Wagawa fedha walikuwa Peter Serukamba, Pindi Chana, Makongoro Mahanga na Januari Makamba. Wengi "waliowezeshwa" kupiga makofi kwa nguvu walikuwa Wazanzibari ambao wanapapatikia sana fedha za chee.
 
Ntashangilia zaidi mzee wa vijisenti atakapokuwa anajivua gamba, itakuwa shangwe sana siku hiyoooo!
 
pamoja na mapesa yake,lakini kisiasa za ccm,Rostam ni mdogo sana kwa EL.EL ndiye kizingiti haswaa kwa ma potential aspirants wote wa 2015 na hata wale wanaotaka kuweka watu wao!
 
Tunamngojea mzee wa Mondulu Ndg EL ajivue gamba naye! Patamu hapo......pples...!
I think most of us in this forum are just hypocrites for we keep on blaming these politicians like Rostam or Lowassa while we never blame those who have voted for them. The malicious and ridiculous allegations directed to Rostam or Lowassa are just based on mere speculations. Some folks are just after EL/Rostam because of their own personal political gains. There's no concrete evidence to suggest that EL/Rostam are involved in grand corruption. They are both innocent till proven guilty by the court of law and not street justice. Don't blame EL/Rostam for whatever crap you wanna pin them upon, instead you can deal with the wananchi who have put them in power!!
Gud night and Good luck!
 
On hypocricy, speak for yourself!
 
Tanzania inapoelekea tunaanza kuuona mwanga kwa mbaaaaali, mdogo mdogo tutafika. Hata mbuyu ulianza kama mchicha.

Sumu unaweza kubadili avatar yako, wakati mwingine tunafungua computer mbele ya wageni, watoto, nk avatar yako inaleta mushekeli kidogo ila kama unaona inafaa. Ni ombi tu.
 
lowasa hawezi kujiuzulu, na hawawezi kumlazimisha, anakubalika ndani ya ccm na ndiye rais ajaye, the guy is strong regardless of his wrongdoing. If you vote today, Jk Vs El, El 80% and Jk 20%,
 
EL nimpambanaji awezi kufa kitoto huyu Rostam NI mdogo
sana kwa el sasa walikuwa wanamchafua el kupitia rostam sasa
tutaona wanawezaaaaaaa hapo patamu ,

KIKUPACHO RAHA NA UCHUNGU KITAKUPA
 
lowasa hawezi kujiuzulu, na hawawezi kumlazimisha, anakubalika ndani ya ccm na ndiye rais ajaye, the guy is strong regardless of his wrongdoing. If you vote today, Jk Vs El, El 80% and Jk 20%,
labda kama utamchagua wewe mwenyewe..othrwise upinzan watatesa..
 
Unajuwa RA pia si Mtanzania lazima aagope sana ukilinganisha na EL na Chenge, ila sijauwa mpira utaendaje maana hii inaonyesha wazi kuwa kuna jambo laja maana hamna kitu RA hasinge gwaya
 
Back
Top Bottom