Tindu lisu katikati ya dimbwi asilolijua.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tindu lisu katikati ya dimbwi asilolijua....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Moghati, Jul 21, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Moghati Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba nianze kwa kusema hivi...chama cha democrasia na maendeleo kina wenyewe ambao ni wachaga...Tindu lisu aendelee kupiga kelele ivo ivo cku akitaka uongozi wa juu ndani ya cdm ndo atawajua machalii wa kichaga, awaulize akina marehemu chacha wangwe, kafulila, zito kabwe na wengne wengi...walipojaribu kutaka kuleta mabadiliko ndani ya cdm waliitwa mamluki wa sisiem...TINDU mimi nakukubali mtu wangu ila chondechonde jaribu uone...cdm ina mafiga matatu ambayo ni mzee mtei, ndesambulo mapesa na DJ mbowe, ms
   
 2. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hayo ni mawazo yako, ila kumbuka Jf tunatumia resources kuhifadhi hizi post. Hivyo nadhani ni vyema kujiuliza kabla hujapost maana utakuwa unajaza nafasi bure. Ni ushauri tu.
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Poti TINDU ndo nani???

  Hadi hapo inaonekana unatumika vibaya, siku nyingine uchanganye na zako!!
   
 4. F

  FJM JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  @Moghati,
  With all due respect, nadhani ingekuwa vizuri ukajikita kwenye issues kuliko watu! Udini, ukabila, ukanda ni tactics za kizamani sana kwenye ulingo wa kisiasa, na ni watu waliofilisika hoja ndio wanaongelea cheap politics kama hizi. Hata hivyo sitaki kuamini kuwa wewe umefilisika kihivyo na uwepo wako hapa jamvini ni kielelezo kuwa unataka kubadilishana mawazo/idea kwenye hoja zenye mashiko. Hivyo nategemea your next post itaonesha u-great thinker wako. karibu.
   
 5. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Si sahihi kupoteza resources za jamvi hili kwa post za namna hii. Na si sahihi kabisa kupoteza resources zako na muda wako kwa thread kama hii.
  Mkuu hayo mambo ya Uchaga, Udini, na Ukanda walioyaanzisha wameshayakimbia na hivyo hayana nafasi katika jamvi hili na taifa hili, Kwa faida yako angali matokeo ya uchaguzi wa wabunge kwa mwaka 2010. Angalia kura nyingi za urais Dr.Slaa alipata mikoa gani, Angalia uongozi uliopo CDM ni wa watu wa aina gani?

  Kwa kifupi tu ni kwamba, TUNDU ni mwanaharakati, msomi, mwanasheria na mwanamageuzi aliyebobea, hivyo ana uwezo wa kupambanua mambo bila kuhitaji michango kama yako.
   
 6. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #6
  Jul 21, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,880
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Hv ubongo wako upo tumboni? Ucnfikirie vbaya lazma unijibu ndio ntoe useful comment, plz do so.
   
 7. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Moghati,,fikiri kabla hujatenda. hata kutumwa wakati mwingine ni vema kutumia akili hata kama ni ndogo za kwako kujenga/kuanzisha thread. Its so disgrace!
   
 8. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  mkukuta, mkurabita, sera, ujasiriamali, agoa, commowelth, jumuiya ya afrika mashariki, soko la pamoja, kanuni za bunge, katiba, mtaala mpya, vitambulisho vya uraia, tume ya uchaguzi, sherehe za uhuru, mwenge wa uhuru, maadili ya viongozi, spika wa kwanza mwanamke, epa, al-adawi, synovet, kiravu, uzinduzi, takukuru-puka, symbion, ndiyoooooooooo! samahani natumia tochi kuwasha ka-desktop yangu, nasubiri uzinduzi wa single ya MEGAWATI ayaaaaa! umeme umek
   
 9. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pumba sana
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Pumba!
   
 11. Kishongo

  Kishongo JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umetoa ushauri mzuri kwa huyu Mhe Lissu ambaye hajijui kuwa anatumiwa kama kitendea kazi. Bora azingatie huu ushauri kwani hata yeye muda hauko mbali kabla hajatupiliwa mbali kama waliomtangulia. Mafiga matatu kwa sasa yanamtumia kummaliza Mhe Shibuda na yeye Lissu anafurahia, anachekelea, anatamba, anajisifu as if anaijua hii NGO. Kwa kifupi, inasikitisha.
   
 12. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  How on earth is that possible????
   
 13. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  mna matatizo mengi mnahitaji kuyasolve,..bajeti zinazopitishwa kwa rushwa(hapa ni wizara zote),kuvuana magamba,kuanzisha CCJ,kumtafuta pasipoti mpya vasco da gama maana mliyompa miezi miwili iliyopita imejaa,n.k.,maliza hayo kabla hujapata mda wa kuhara..
   
 14. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mghati kubali hapa umekatika! Haitwi Tindu, anaitwa Tundu! Mbona ubongo wako unaonyesha umeganda upo wap!
   
 15. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii nimeipenda sana; kulala usingizi bungeni-uchochezi; kuungana na cuf zanzibar, serikali ya umoja wa kitaifa; kujenga barabare serengeti; kuleta maji mjini tabora kutoka ziwa victoria; kutengeneza train iendayo kasi (sawa na ahadi za Dr wa ukweli aliyejua zitatoka wapi), kujivua gamba; kujiuzulu rostam; barua ya mashirika ya umma kuhonga wabunge; wabunge wa ccm kuhongwa huko tanga na kafulila kuwalipua live; kuunda tume nyingi za bunge; polisi kuua watu huko tarime, mbeya, mwanza, arusha; mabomu ya gongolamboto-bahati mbaya; kuleta wawekezaji gizani kutoka afrika kusini;safari za mara kwa mara kuwekewa maji ya uzima mwilini; kubeba katika malori watu ili kwendakujivua gamba-gamba limegoma kutoka; baraza la mawaziri linaongozwa na malobyist; waziri mkuu kasema uongo-afanywe nini? spika kiti hicho kitakuwa cha moto; angalia sana spika-mdee; maandamano ni sera ya chama fulani; nchi kukaa gizani kwa kipindi kisicho julikana (Power eclipse tetetete); kila mwananchi kupewa chandarua; kila mjamzito na bajaji yake; kigoma kujenga uwanja wa kimataifa; mtwara kujenga bandari ya kisasa; tetetetetetet mambo ni mengi ya magamba bwana utayajua tu
   
 16. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  thread ya rev.masanilo imewapiga siku nzima ,..naona nape kawatuma vijana wake waje kucounterattack na hoja dhaifu,wanachonifurahisha hawakawii kukimbia,..nape hizo hela unaowapa hawa ungezifanyia kazi nyingine ya kifisadi maana zinatokana na ufisadi
   
 17. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #17
  Jul 21, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kakojoe ulale mtoto mzuri umesika eeee.. usije ukakojoa kitandani kama jana halafu kumbuka kulala na kopo la kukojolea maana juzi nimeona umekojoa chini ya uvungu mpaka sasa hivi chumba bado kinanuka pamoja na dada yako kupiga deki
   
 18. M

  Moghati Member

  #18
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  inawezekana ukawa tumboni, bt dat z da truth...ila wanachatema mkiambiwa kitu mnatukana hv hayo mapinduz mtayapata kwa matusi...i dont thnk so...
   
 19. m

  mwl JF-Expert Member

  #19
  Jul 21, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 863
  Likes Received: 594
  Trophy Points: 180
  Maadamu inawezekana uko tumboni basi unayoyasema yantoea kupitia tundu ya haja kubwa, nina hakika utasema hili ni tusi wakati umesema uwezekano upo. Which truth u r talking? pumba tupu, awaliyaeleza wakubwa zako ona sasa kimya wanaumbuana mnyewe kwa mnyewe(kiarabu hicho sio tusi).
   
 20. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #20
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Neno jepesi naloweza kukwambia ni kwamba wewe ni bogus kweli, yani akili yako iko tumboni!!??

  Watumwa wa nape mna matatizo sana, sijui mtajikomboa lini.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...