Kafulila angekuwa CHADEMA......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kafulila angekuwa CHADEMA.........

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sir R, May 17, 2011.

 1. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mh Kafulila hasikiki kabisa kulinganisha na wabunge wenzake wa CDM. Tatizo chama chake au ni uwezo wa kujenga hoja.

  Sielewi kinachofanya Mbunge akubalike katika jamii ni hoja zake binafsi au chama anachotoka.
  Tukipambanua vizuri hoja kinaweza kusaidia wengi wanaojiingiza kwenye siasa, ni vitu gani mtu azingatie ili aweze kufanya kazi ya siasa.
   
 2. d

  dotto JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Like his name!!! my be !!
   
 3. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Backup mzee kama huna nguvu ya uhakika nyuma yako hata uwe na hoja kisi gani huwezi kusikika, Kafulila hata kama ana hoja hana jukwaa la kuzungumzia.
   
 4. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,079
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  asubili kununuliwa na chama cha magamba na hizo hoja zake..............
   
 5. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Facts za kupambana na ufisadi tunataka, sasa kama huna facts yani umefulila utatambulikaje?
   
 6. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  It means kafulia ?
  Naona jamaa anahitaji jukwaa imara la kusimamia ili aendeleze siasa.
   
 7. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  NCCR inahitaji kuongozwa na kiongozi mbunifu tofauti na Mbatia. M/kiti ni kijana lakini sioni juhudi anazofanya kuhakisha anawainua kina Kafulila waliokuzwa na CDM.

  Mbatia anahangaika na Halima Mdee, hana muda wakujenga chama.
   
 8. T

  Tolowski Senior Member

  #8
  May 17, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unataka awe anaropoka ropoka hovyo kama wabunge wa chadema?jamaa ndiye mwanasiasa wa ukweli alivyoona ubabaishaji wa akina slaa akawakimbia na sasa ni mbunge wa ukweli! Kimya kimya anawapigania waliomchagua,siyo kupelekeshwa na mbowe kwa kila jambo kama wabunge wa chadema
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,333
  Trophy Points: 280
  Waliopo chadema wanatosha - kafulia ndiyo nani?
   
 10. REBEL

  REBEL Senior Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mimi naona wampe ukatibu wa nccr.na mkosamali wampe uenezi nadhani nccr itapata umaarufu.maana mbatia anaboa!
   
 11. M

  Marytina JF-Expert Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  he is good for nothing
  akae huko nccr na mwenyeweki wake aliyekiua chama au ahamie ccm
   
 12. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mi naona bora hata huyo kuliko yule mhamasishaji aka mbunge wa hai anaejiita kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni.
   
 13. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Ina maana watanzania wanawaunga waropokaji?
   
 14. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Huyo wa Hai anawashtua mafisadi? Kwanini unaona hafai, Watu wa Hai walimkubali alivyo. Kwanini unamchukia mwakilishi wa watu?
   
 15. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Hapa hatushutumu Mh Kafulila, Tuchojadili ni sababu ya ukimya wake kuwa ni Chama chake au ni uwezo wa kujenga hoja.
  Siasa ina mambo mengi, wanaojua kilichoko kwenye siasa ni waliofanya siasa kwa muda mrefu.

  Inawezekana chama kinaweza kumjenga au kumbomoa mwanachama wake. Au mwanachama anaweza kukijenga au kukibomoa chama chake.
  Tujadili hoja kwa nia kujenga.
   
 16. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  'Kafulila' inamaanisha 'Kafulia'
   
 17. IsangulaKG

  IsangulaKG Verified User

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 702
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 45
  So just let him..'Rest in Peace' hana jipya
   
 18. Straight corner

  Straight corner JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tatizo la hawa watu mnaowaita waheshimiwa wanakuwa kama vile wengi wanachotafuta ni "uhakika wa kula" kwani utakuta mtu kama Kafulila wengi walipata matumaini jinsi alivyokuwa anakua/advance kisiasa lakini toka amehama CDM lolote litakalofanywa na CDM lazima apinge bila kujali ni la busara au la hovyo! Wanakera sana watu sampuli hii!
   
 19. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Kuwa na kinyongo kwa muda mrefu ni tatizo kama ni mwanasiasa kwani siasa haina uadui wala urafiki wa kudumu mbali maslahi kwa maana ya hoja za kutetea haki ya walio wengi.

  Kama bado ana hasira na CDM, hali hiyo itamharibia badala kumjenga.
  Kafulila niliyekuwa namsikia kabla ya kuwa mbunge ni tofauti na sasa.
   
 20. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  tatizo ni chama alichokuwepo na watu wanao mback up, dhambi nyingine kukubali kufunga ndoa ta tatu na CCM kwa kuwa CUF walishafunga rsmi na hao

  Mbona alivyokuwa CDM alisikika vizuri tu????
   
Loading...