Mdahalo wa bunge la kumi na tanzania tunayoitaka

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Wadau jumamosi tarehe 30 july 2011, star Tv watarusha mdahalo wenye mada, Bunge la kumi na tanzania tunayoitaka, wazungumzaji wakuu watakuwa Mh. Ndugai Naibu Spika na Tundu lissu.

Bila shaka hii itakuwa swaaaaafi sana!!

Source: Star TV
 
Last edited by a moderator:
Tusaidie itakuwa ni saa ngapi?

Itakuwa kuanzia saa 12 na nusu jioni mpaka saa moja kasoro dakika kumi usiku, mwenyekiti wa mdahalo huu ni rosemary mwakitwange na vile vipindi vyake vya 'the tanzania we want' nimeweka promo hapo au hukuweza kuisoma mkuu. ok nilitaka kusahau mdahalo huu utafanyika Dodoma katika ukumbi wa St Gaspar Hotel & Conference Centre.
 
Back
Top Bottom