Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

hivi vitu hutofautiana?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
"Mr President,what I am trying to say is that we are ALL,EDUCATED and UNEDUCATED ALIKE,MEMBERS OF ONE SOCIETY,and EQUAL HUMAN BEINGS in that SOCIETY.We can try to cut ourselves off from our...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Samwel Sitta, amesema ataendelea kusema ukweli daima kwa wananchi kuhusu kasoro ndani ya CCM na serikali akiamini kuwa huo ndiyo uwajibakaji.Sitta alisema...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama ungepata bahati ya kukutana na JK, halafu nchi nzima inawaangalia na kuwasikiliza, je ungemuuliza swali gani Mheshimiwa Kikwete?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Waliopewa viwaja vya kupima(Plan) na Serekali na wakajenga,haliyakuwa yalikuwa ni mashamba ya watu kabla ya mapinduzi,Jee Serekali ya SUK itashukuwa hatua gani?.Written by Hassan10 // 23/07/2011...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Ni wazi kabisa kuwa CCM ina mpasuko mkubwa, mpasuko ambao unatishia mustakabali wa uhai wake. Na si siri kwamba mpasuko huo unatokana na makada waandamizi katika CCM kuelekeza macho yao katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
na niziweke hapa tuwajue madiwani ngangari wa cdm wanaotaka kumpeleka katibu wao mkuu mahakamani
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani,swali la Nyambari nyangwine leo kwa waziri wa mambo ya nje mi naona ni la kitoto.,eti waziri amtajie ni nchi ngapi zina balozi nchini Tanzania.,sijui mnalionaje
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Baadhi ya watanzania hawataki kujifunza kutokana na makosa yao wenyewe. Wanatumia muda mwingi kweli kushabikia nani awe rais badala ya kutumia muda huo na juhudi zao kuwabana viongozi wetu...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF, Nimekuwa nikiwaza sana namna wenye viwanda na wafanyabiashara mbalimbali nchini walivyo/wanavyoathirika na mgao unaondelea wa umeme.Mambo yafuatayo ni matokeo ya mgao huu kwa wenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mfumo mbovu wa kupata viogozi ndani ya CCM, serikalini na swala la viogozi kutowajibika kwa wananchi umechangia sana kudumaza maendeleo ya nchi hii. Kinachoshuhudiwa sasa ktk makundi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
DPP amkana Hoseah ASEMA HAJAPATA JALADA LA CHENGE, AAMBIWA AKAANGALIE MASJAJA SIKU moja baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk Edward Hoseah, kusema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rushwa inalitafuna Bunge, Spika amebaki mtazamaji Thursday, 21 July 2011 21:12 Mwananchi JANA tulichapisha habari zilizoonyesha jinsi tuhuma za rushwa zinazowakabili baadhi ya wabunge...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam John Guninita amemshambulia vikali waziri wa ushirikiano Afrika Mashariki Samwel Sitta kwamba anataka kuua chama. Guninita...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
sijajua mwongozo wa bunge kuhusu maswali na majibu bungeni, ninge penda maswali ya papo yaulizwe kwa kila waziri, hapo ndo tungejua uwezo wa mawaziri na utendaji wao wakazi. Kwa mfumo huo tutapata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda. Aonya kamati kuu iliyojadili haina ubavu kumtimua. Atamba wakithubutu hilo wataona cha mtema kuni. Adai kukataa posho ni sera za chama kilichoshinda...
0 Reactions
201 Replies
16K Views
Kuna baadhi ya mikoa hapa nchini hususan Kagera hasahasa Bukoba hapa mjini, Kyaka Bunazi, Karagwe hawajui kabisaaa kama kuna tatizo la umeme nchini. Wanapoona magazeti yanaandika kuhusu mgao wao...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Spika Makinda anasema kwamba, "Baada ya hotuba ya bajeti kusomwa Bungeni, Bunge haliwezi kuibadilisha kitu." Spika kwa lugha nyingine anasema, Bunge halina kazi ya kufanya, na kwa nini walipwa...
0 Reactions
175 Replies
16K Views
Chama cha mapindizi kimeendelea kufanya yale wengi wanayoyaona kama madudu na kubebana, hii imeonekana zaidi baada ya katibu mkuu jana kumpa likizo tena yenye malipo katibu mkuu wa nishati na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mujibu wako mwenyewe, ulisema deadline ni leo saa saba mchana, kwa madiwani wa arusha wawe wametoa taarifa za kujiuzulu, tunakusubiri wewe mzee rais kivuli wa tanzania!
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Back
Top Bottom