IPTL/ BUZWAGI/ BUHEMBA/ EPA/ MTUTUMA/ RICHMOND/ MGAO WA UMEME/ NOTH MARA/ TRL/ TICTs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IPTL/ BUZWAGI/ BUHEMBA/ EPA/ MTUTUMA/ RICHMOND/ MGAO WA UMEME/ NOTH MARA/ TRL/ TICTs

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmakonde, Jul 23, 2011.

 1. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mpaka siku ile tutakapopata RAIS mwenye uchungu na nchi yake.ambaye anaweza kuwaprosecute wahusika wa skandali zote hapo juu,bila kujali wadhifa zao ,Ndipo taifa letu litasonga mbele.Tumeshikwa na kansa ambayo inahitaji chemotherapy ya hali ya juu.
   
 2. nzumbe

  nzumbe Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umesema kweli, maana sasa hadithi ilyopo ni ya umeme, na wengine wamesahau maovu mengine mengi ambayo serikali yetu bado haioni aibu kututendea!!.. Sasa tuamkeeeeeeeee....
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Apo kwa heading ni mtutuma au mchuchuma?
  Ni mpaka pale magamba watakapotolewa madarakani ndo kitaeleweka vinginevyo wakiendelea hawa hawa watalindana tuu
   
Loading...