Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna shaka watanzania badowana mapenzi ya dhatikwa raisi mstaafu Mkapa, pamoja na matatizo yake yote katika utawala wake ,alijipambanua kama kiongozi jasiri,sio mnafiki aliyekuwa na vision ya dhati ya kujenga Tanzania, tulikuwa bado tumhitaji MKAPA.
Yaani nakupa 100%. Halafu alivyokuwa na uwezo kulinda rasilimali za Taifa, k.v. migodi, mabenki, makampuni, kagoda, meremeta, EPA, Richmond n.k.
WATANZANIA TUNA HAKI YA KUUMIA SABABU TUNAPENDA SANA KU-DEBATE MATATIZO IKIWA NI PAMOJA NA KUBISHANA NANI KATUFIKISHA HAPA TULIPO LEO. TUNA-DEBATE VITU AMBAVYO NI TOO OBVIOUS. HADI LEO HATUJUI NI NANI ALIYEUZA MIGODI YETU, NA HATA TUKIMJUA, KUTAKUWA NA MJADALA MWINGINE WA KARNE, KUJADILI WHETHER ALICHOFANYA NI KIZURI AU NI KIBAYA. TUNAANGALIA LEO TU, WAKATI JANA KUNA MTU ALITUCHIMBIA SHIMO MLANGONI ILI TUJE TUJIKWAE PALE. MIMI SASA HIVI KIMYA, SIONGEI TENA. UNACHOKA
Hamna shaka watanzania badowana mapenzi ya dhatikwa raisi mstaafu Mkapa, pamoja na matatizo yake yote katika utawala wake ,alijipambanua kama kiongozi jasiri,sio mnafiki aliyekuwa na vision ya dhati ya kujenga Tanzania, tulikuwa bado tumhitaji MKAPA.
migodi,mabenki kama NBC,MNB,Mambo ya deepgreen,meremeta,kagoda,APE,Kuuza nyumba ,mashirika ya umma na kiwira na jk ndo alihuska MKAPA wala hana hata doa alitakia awe presdent for life tungefika mbali sana
ukiwa na mfumo mzuri wa utawala hata wewe na si Mkapa tu mawazo yako yatasaidia kuendesha nchi hii. What do I mean: kwa mfano sasa hivi uongozi unaamini kuwa 2+2=22 akitokea mwalimu anayesema 2+2=4 hata kama yupo Nkasi, Kamachumu, Namtumbo, Usoke ndani ndani nk lazima tumkubalie, bali mfumo hauruhusu!!! Ndiyo maana Mh. Mbowe aliwahi kutamka kuwa kwa mfumo wa utawala Tanzania hata akishuka malaika kutoka mbinguni hawezi kubadilisha chochote! ...lakini alijitahidi akashindwa kumaliza mkia maskini!!!Hamna shaka watanzania badowana mapenzi ya dhatikwa raisi mstaafu Mkapa, pamoja na matatizo yake yote katika utawala wake ,alijipambanua kama kiongozi jasiri,sio mnafiki aliyekuwa na vision ya dhati ya kujenga Tanzania, tulikuwa bado tumhitaji MKAPA.