Hivi inawezekana tukawa soko la mafuta kutoka uganda !!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi inawezekana tukawa soko la mafuta kutoka uganda !!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VIKWAZO, Jul 23, 2011.

 1. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [h=2]Pamoja na ugunduzi wa mafuta hapa nchi lakina uganda wana amini TANZANIA tunaweza kuwa soko lao la mafuta (refinery)
  nini kinawapa waganda ujasiri huu?
  hawana maliasili mafuta kama sisi, ina maana wanajua udhaifu wetu?
  hiki ndicho tunapelekewa EAC?

  Uganda plans key African refinery
  [/h]Uganda is planning to build only the second oil refinery in East Africa by 2015.
  Following the recent discovery of 2.5 billion barrels of oil, Uganda aims to develop a refinery in Hoima, according to Fred Kabagame Kaliisa, permanent secretary at the energy ministry.
  The $2 billion plant should be able to produce an initial 20,000 barrels per day, rising to 200,000 over 30 years. A pipeline designed to export the country’s crude is also expected to be complete in four years and
  .

  At present, a refinery in the Kenyan port city of Mombasa is the only facility of its kind in East Africa, exporting fuel to Uganda, Rwanda and Burundi. But it only produces 32,000 b/d, compared to a capacity of 80,000, and in May suffered an external power failure that shut it down for a week. Essar Group, the Indian company that owns 50 per cent of the plant, has suggested plans to upgrade the 40 year-old facility to improve its efficiency and raise production.
  “It is clear that demand for oil products in East Africa will continue to rise and the Mombasa refinery is well placed to meet this demand,” said Bimal Mukherjee, chief executive of Kenya Petroleum.
  However, the Kenyan government seems less keen on modernisation, planning instead to import fuel from its neighbours once the Ugandan refinery starts.
  Following the discovery of reserves at Albertine Graben in 2006, government analysts estimate that Uganda will be able to support the production of over 100,000 b/d for the next 20 years, making the country the primary oil producer in East Africa. “Uganda is a good trading partner and we expect to reach a good deal”, said Martin Heya, Kenya’s commissioner for petroleum to Dow Jones Newswires in May.
   
 2. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Tukiwa export market ya jirani yetu Uganda will not be a bad idea at all.
  Na tunaweza chimba bomba la mafuta kusupply oil refinery yetu hapahapa Tanzania.
  Goodbye to ocean freight charges if at all we can think about it!
  Lazima tufikiri kibiashara zaidi.
   
 3. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  but kwa nini sisi tusiwe na refinery yetu hali tuna mafuta mengi kuliko uganda
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Ukitaka jibu la swali lako fuatilia what happened to TIPA hasa baada ya serikali zilozofuata kuamua kutupilia mbali kila kizuri kilichoanzishwa na Julius Nyerere.
   
 5. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kuwa au kutokuwa na refinery yetu wenyewe si suala la mjadala.
  Mimi binafsi nawalaumu sana serikali hasa wakati wa awamu ya pili ya Rais Mwinyi kwa kufunga refinery yetu pale kigamboni.
  Hili limeleta matatizo mengi sana baada ya kushinikizwa kufanya hivyo na wafanya biashara ya mafuta.
  Uganda wakituuzia mafuta , ni lazima itakuwa bei poa.
  Sisis bado hatujajua kama tuna mafuta ya kuweza kuvunwa kibiashara.
   
 6. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ina maana hakuna umuhimu wa sisi kufufua refinery yetu ya kigamboni? au kuanzisha kiwanda kimya?
  kila kukicha serikali inawekeza kwenye elimu (majengo ya shule) lakini kwa uchumi wa sasa sio tu nchi inapaswa kuwa
  na wataalamu lakini pia viwanda vya uzalishaji ili hiyo elimu itumike isitoshe elimu sio ukombozi elimu ni sehemu ndogo ya maendeleo
  kwa nini sisi hatuwekezi kwenye maeneo kama haya?
  hao uganda hawana mali ghafi kama sisi lakini sasa wanapiga hatua na sisi tumekalia kuuza raw material tu
   
Loading...