Sophia Simba Bungeni

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Takribani dakika kumi sasa, anatoa pongezi na shukrani. Mara Jk mara Kitwana Kondo, ngoja nieendelee kumvumilia
 
Kitwana Kondo.....huyu si alizaa nae huyu mama na akamfanyia kitu mbaya......huyu mama ni balaaa
 
Ndio maana tuna kiu na Katiba mpya ili tupate mawaziri wachapakazi na watakaotumikia wananchi. Kitendo cha kukaa na kutumia muda mwingi kusifu watu badala ya kutatua kero za wananchi ni usaliti wa utawala bora. Swala siyo kusifia watu waliowahi kuwa waume zako bali siku ya leo ni saiku ya kuwakilisha bajeti yako fullstop. Mengine yasubiri urudi nyumbani kwako uongee utakavyo.
 
Huyu maza siku hizi hasikiki kabisa, angalau kule alikokuwa zamani alikuwa anatoatoa pumba kidogo na kujaza headlines. Nchi ya JK ni matatizo matupu, uswahiba huu tunaoukumbatia ndo umetufikisha hapa tulipo na bado tusubiri laana ya Mungu kwa kumchagua JK. Heri ya Dovutwa angetusaidia kujenga kiwanda cha silaha kuliko JK na Magamba yake kama hili jimama
 
Binasfi siipendi kabisa hiyo style ya kutoa pongezi/shukrani na salamu kabla ya hotuba. Wangekuwa wanatakiwa kuanza na hotuba straight ili wa-save time kwa masuala ya msingi. Yaani unakuta mtu tangu achaguliwe Nov, 2010 hajawahi kuongea chochote bungeni basi akipata nafasi walao ya kuunga mkono hoja anaanza na shukrani kwa mlolongo wa watu na kupoteza muda bure! Mbunge mmoja alitoa "... pia namshukuru mke wangu kwa kunitunza vizuri" Gambafu!
 
sofia simba? Ni nani vile? Au yule alikua akivaa cheni mguuni kama kuku mgeni...hahaaa weka cv yake hapa...ile skendo yake ya kukutwa gest na gari la serikali iliishia wapi?
 
kuna lugha flani huwa anaitumia MASANJA MKANDAMIZAJI sijui burudani sijui......... ok!!! kiburudisho hahahaa upstairs nothing!!!! vyeo kila kukicha kwa nini? kumbe ni burudani ya watu hiyoooioiiiioooooooooooooooo
 
Ma CCM ndiyo namna ya kuchangia hayako creative yako yako tu yaacheni yateme upupu hakuna la kuyafanya .
 
Yahai mtu kama huyo atamshauri nini rahisi? mi nadhani ndo maana serikali inapwaya sana kwa sababu watendaji aliowachagua hawana mchango kwake
 
Back
Top Bottom