CHADEMA mbona kimya? Mnatugusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA mbona kimya? Mnatugusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtazamaji, Jul 22, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Chadema tunawshukuru wa kupigia kelele ufisadi lakini una kitu kienishangaza .

  Lakini kuna issue hii ya Nishati imetokea mmekaa kimya au kwa kuwa imeazishwa na magamba basi mnaona si haki na wajibu wenu kuindeleza.

  Ukimya wenu unaweza kuwafanya watu wahisi kuwa wabunge wenu na wengine wa upinzani hasa ndio target ya kupewa hizi pesa zinazoitwa za "mawasiliano"( Ni rushwa).

  Kama zipo na zimepokelwa za wizara nyingine bora mjisafishe mapema kabla upepo haujabadilika. .....

  Mpaka sasa Huyo jairo a watendaji wengine waliogaziwa kutuma hizo pesa b ado hata haja hojahojiwa na kutoa maelezo ya awali polisi wala Takukuru na nyie mko kimya. kwa nini.?? Toeni press realease ya kueleza msimamo wenu.

  Linapokuja suala la Ufisadi hata kama limeibuliwa na mwanamagamba likamateni .Hakuna hakimiliki kwenye vita ya UFISADI la sivyo...................  Nawasilisha
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Simple, hata wao hawawezi kutatua tatizo hili wakipewa nchi. Au wamepigwa ganzi ghafla!?
   
 3. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Bwana nzee , shughuli kubwa ya CHADEMA ni hii hapa............[​IMG]
  Arusha wanawakumbuka sana!!!
   
 4. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Tunatofautiana kufikiri Katibu yule amewekwa na wanamagamba na Mwenyekiti wa wanamagamba,nadhani c mfutiliaji mzuri wa kipindi cha bunge kwani ni mbunge yupi wa CHADEMA aliyesimama kuunga mkono bajeti? kwani nilazima kila kitu kisemwe na wanachadema? je kukataliwa kwa bajeti ni mfanikio kwa CCM au aibu kwa Wana CCM? je inteligensia ya wanamagamba ilikuwa wpi mda wote huu mpaka taifa linateswa na giza. kwa taarifa ni huyo katibu na Mwenyekiti wa Wanamagamba aliye shirikikiana katika uchimbaji madini kiholela ya Uranium kule Namtumbo.HIVYO FANYA UTAFITI,FUATILIA,NA UELEWE NA FIKIRI KWA FIKRA SAHIHI kwa hapa umedhalilisha uwezo wako wa kufikiri
   
 5. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,573
  Likes Received: 1,939
  Trophy Points: 280
  Naona CDM wanatumia falsafa ya "ndugu wakigombana" Ni vyema CDM waktueleza wao watanfanya ama wangefanya nini.Si vibaya kama wako kimya kwasasa coz ni vyema tu "kimkakati"
  However eventually ni muhimu watupe ideas kwamba wao wangefanyaje ama watafanyaje ikiwa watapewa nchi.
   
 6. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kaka darasa la pili nini? ms?sokomoko?? kwa stahili hii hata hizo satanic verses zenu itakuwa kazi kuziandika! pole sana!
   
 7. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,573
  Likes Received: 1,939
  Trophy Points: 280
  Nadhani anahitaji kufanya editing.Hii hapo chini....
  Better now?
   
 8. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  not yet...inaelekea na wewe umejazwa upupu wa ilimu ahera...! nilikuwa napita tu!! enjoy!
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele mkuu

  CDM hapndipo waliotakiwa kubinya zaidi. Si tuliona Polisi walivyokuwa fasta kumpeleka mbowe kwa Helikopta Arusha. Mbona Hao polisi hawawahoji hao kina jairo.? Tunajua hawewezi kumuhojii mbunge shelukindo sabaubu analindwa na kanuni za bunge .
  Vipi
  • kuhusu katibu mkuu.
  • hao wakuu wa hizo idara zilizotuma Pesa.?
  • Kuhusu Wizara nyingine zilizoitisha bajeti?

  Anywa kukaa kwao kimya labda wengine tunatafsiri tofauti. CDM wanatkaiwa waombe ichunguzwe kila wizara imepeleka shilingi ngapi na a kifungu gani wa matumizi yapi mkooni dodoma mwezi huu.

  Kuna kasumba ipo kuwa hili limeazishwa na CDM CCM wanalipuuzia mpaka mamo yawe mabya. Hivyo Hivyo na CDM kuna vitu wanaacha kuzidi kuvishikia bago sababu vimeazishwa na CCM . Ni kosa

  Kwa tathmini yangu ya haraka kuna bajeti za wizara zimeshapita. Simple logic ni kwamba kuna wabuge kadhaa na wakiwemo na wa CDM wameshapokea hivi vimilioni vya "mawasiliano"

  Sasa CDM wakisubiri CCM wajipage jinsi ya kujibu mashambulizi sijui itakuwaje. Au ndo tuseme CCM na wapinzani wote inabidi wakubaliane jinsi ya kutudanganya wananchi.

  Naamin wamepigwa na butwaaaa sabbau wabunge wao wameshadaka za wizara nyigine zilizopita. teh teh teh


  Teh teh teh . Aksante sana kaka


  Kweli kabisa ndio maana ikaitwa jamii forum na wenye elimu ahera tunaruhusiwa kutoa maoni. Na wewe mwenye elimuu sijui ni ya jehanam toa maoni na fanya tathmini tuone na tulinganishe na tuone tofauti . teh teh teh Otherwise thanks kwa kupita . enjoy
   
 10. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,573
  Likes Received: 1,939
  Trophy Points: 280
  Haya wahi!
   
 11. T

  Tolowski Senior Member

  #11
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijawahi kushuhudia kipindi ambacho watanzania wamechoka,kata tamaa and wana matatizo mengi kama hiki! People are tired of CCM AND GOVERMENT YA JK! Watu wengi wapo tayari kwa lolote including me! Wazee huku mtaani nayashuhudia matatizo ambayo hayaelezeki! Kuna mdada namfahamu jana kapokea mshahara shs.15,000 per month, kisa bosi haingizi fedha coz of umeme! Mimi mwenyewe jana ndo nimemaliza elimu ya juu,mfukoni nimebakiwa na elfu 3 tu,kwetu ni songea nauli ni 40000,mother nimeshampiga mizinga hadi naona aibu, ajira sitegemei kupata leo wala kesho! Slaa watu wamegive up!! Mbona umetulia sana dr.!? Hivi huioni hii opportunity? Au unawaogopa ccm? Au wimbo wa amani umekuingia na wewe? Amani ni heroine and cocaine wanayoitumia ccm kuwalevya watu, pls slaa uckubali nawe kulewa! Zile harakati zako za mwanzoni naona zimepungua sana,au unaumwa? Hawa ccm siyo wastaarabu so huitaji kuwaendea kistaarabu!! Vipi mbowe? We need ukurupukaji wako, ccm ukiwaendea kislowly wataendelea kutuumiza! PLS SLAA START THE BOMB! ITISHA MAANDAMANO NCHI NZIMA BABA TUWAONDOE HAWA MAJAMBAZI! Me naamini kama kuna mtu anaisapoti ccm basi ni chizi au anajifanya chizi! SLAA WHY?WHY?WHY....U FAIL TO USE THIS OPPORTUNITY???WHY? Lianzishe bana!!
   
 12. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wewe mdanganye tu mwenzako aanzishe maandamano ya nchi nzima aone moto wake. Atapigwa jela ya maisha na asahau kabisa kitu kinachoitwa siasa. Huu ushauri mnapaswa kuumalizia hukohuko vijiweni, mtakuja kujuta CHADEMA.
   
 13. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Nataka nilianzishe maana, yeyote atakaye lianzisha tunachukua hakuna kitu sidhani kama kuna askali ana akili yake anaweza kulinda huu uozo.

  Lakini Slaa aliwakata kuipa CCM kura hamkusia kabisa.
   
 14. T

  Tolowski Senior Member

  #14
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Even Baba madiba alipigwa jela ya maisha na watu wapuuzi na wanyonyaji kama wewe! Then kilichotokea later nadhani una kaufahamu ka kufahamu
   
 15. T

  Tolowski Senior Member

  #15
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashindwa kuwaelewa watu wanaoipigia kura ccm, i dont know niwaweke kwenye kundi gani la watu
   
 16. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Dakitariii Slaa..plse msikilize kijana, maneno ya busara kabisa hayo, yakuingie baba. Plse we are tired with this government... Pliiiiiz tupo tayari kama Malawi mpaka kieleweke...
   
 17. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Nilijua tu haya ni mawazo ya mtoto. asante kwa kujitambulisha kuwa ndio umemaliza chuo jana. bado utineja unakusumbua.
   
 18. Dume la Mende

  Dume la Mende JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naona mtoa mada ashazipigia hesabu nyumba za oysterbay na masaki kwamba atamtoa yule na yule aingie yeye. Au atatumia kigezo hicho cha maandamano na yeye kupora gari ya fulani kwa kisingizio kwamba ni fisadi. Jamani haya mambo watu wengine wanatafuta pa kutokea tu kimaisha. Wako choka mbaya kama mshkaji ana buku 3, ana girlfriend Songea anamsubiri msomi chokesti, sasa hili la maandamano likitokea, atapata kitu kwa kupora mali za raia wasio na hatia na wala wasio mafisadi. Nakushauri utafute tu kazi,, hela utapata tu, usitafute njia za mkato. Kama vipi, Songea pale anzisha hata biashara ya malimao au maembe
   
 19. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  HIvi vingine ndio kwanza havijajua hata kujinunulia wenyewe maji ya kuoshea wanaanza chokochoko, mngejua tumetoka wapi haya ya leo mngeyaona ni neema kubwa sana. Tanzania ndio ilikuwa hivi miaka 25 nyuma?

  Kijana uliza wazee wako.
   
 20. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmmh bibie foxy acha kudanganya watu, hali ya sasa ni ngumu mno, bora hata zamani. Sasa hv ni too much
   
Loading...