Shibuda atangaza kuihama CDM leo hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shibuda atangaza kuihama CDM leo hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, Jul 23, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,228
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Nipo maswa katika ofisi za Chadema, kwani kuna taarifa kwamba Mbunge wa Maswa Magharibi mkoani Shinyanga, John Shibuda (CHADEMA) ametangaza kukihama Chadema. Nafatilia kwa undani wa habari hizo. lkn zimeshika kasi sana wakati huu.
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  source?????
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,249
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  fuatilia uje na data fresh!
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jul 23, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,950
  Likes Received: 366
  Trophy Points: 180
  Atakuwa kafukuzwa huyo. Fuatilia mkuu tupe data
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,188
  Likes Received: 4,542
  Trophy Points: 280
  Gossip
   
 6. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Sasa kama unajua kafukuzwa lete wewe data basi
   
 7. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #7
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,290
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Aende zake hilo dude tumechoka kumckia na upopo wake.
   
 8. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #8
  Jul 23, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu Kama huna uhakika na unachokiandika ungeanza kwa kuanndika tetesi ktk heading yako.
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Jul 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,857
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Asiwe na haraka ! Sisi Cdm hatutanii . . . Tunamalizia kukusanya ushahidi juu ya usaliti wake, hukumu ya haki atakumbana nayo. . .
   
 10. M

  Msharika JF-Expert Member

  #10
  Jul 23, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  uitakuwa farajja kubwa kama kweli
   
 11. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #11
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Shibuda aende tu maana naona huu ni mzigo tena gunia la misumari.
   
 12. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #12
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,084
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Kahojiwa na wataalam kaona mambo sio he! Nadhaniatakuwa kahaidiwa kupitishwa na ccm
   
 13. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli basi litakuwa pigo kubwa sana kwa Magwanda.
   
 14. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #14
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,622
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 160
  ni haki yake. Anaweza kuungana na fisadi Rostam wakafanya biashara
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,909
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  hivi muajiri wako nape anakulipa overtime?
   
 16. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #16
  Jul 23, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Fafanua kidogo,pigo kivipi?????
   
 17. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #17
  Jul 23, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,434
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hivi alikuwa hajaondoka anasubiri nini, mtu mzima hovyoooooooo!!!
   
 18. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #18
  Jul 23, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,005
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Ikithibitika itabidi nikapate 'Kijeti' kwa Mama Ngina pale Sabasaba kwa Mpili, ili kusherehekea mafanikio na kumtakia safari njema...!
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Jul 23, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 9,822
  Likes Received: 576
  Trophy Points: 280
  huyo ni farasi wa kinyantuzu.

  alichelewa kuhama. na ahame. wala hatutaki majuha kwenye chama chetu.

  dah! habari nzuri sana hii. nilikuwa sina mpango wa kwenda baa, sasa naenda rasmi.
   
 20. Mpui Lyazumbi

  Mpui Lyazumbi JF-Expert Member

  #20
  Jul 23, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,826
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Nkumbuka kibwagizo kwenye wimbo aloimba "Nasma Kidogo". - Umekuwa inzi, usafi wataka na uchafu wataka.....
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...