Mwandishi wa habari: Muheshimiwa raisi unajua ni kwanini nchi yako ni masikini?
JK majibu: Hata mimi sijui........!
Mwandishi wa habari: Muheshimiwa raisi utafanya nini kundokana na giza?
JK...
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, hospitali ya taifa ya Muhimbili nayo imeingia katika mgao mkubwa wa umeme tofauti na ilivyokuwa awali.
Wodi zilizo athirika zaidi ni sewa haji, kibasila...
Hii issue ya rushwa, umeme, politics kila sehemu, kodi za kutisha, bandari ambayo ni inefficient, mfumo wa kodi uliokaa kuwakandamiza wafanyabiashara na wawekezaji, mawasiliano duni..etc
hivi...
KATIKA kile kinachotafsiriwa kuwa ni kuwatega mawaziri na viongozi wa Serikali wanaotumia magari ya kifahari na yenye gharama kubwa, Waziri Mkuu,Mizengo Pinda ameanza kuachana na matumizi ya...
Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha.
Source; CCM HQs
Opinion, The african
BY FRED OKOTH
THERE is an archaic saying among the many African proverbs that a poor man will always die poor. On the other hand, the rich will always continue...
Ndugu wana jf majimbo yafuatayo yako hayana wabunge na uchaguzi unatakiwa ufanyike haraka iwezekanavyo:
1. Rorya
2. Shinyanga mjini
3. Tarime
4. Igunga
kama mnafahamu majimbo mengine yasiyo...
Wakuu nimepata habari kuwa Profesa Samwel Mushi wa Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam amefariki dunia.
Source: chanzo cha habari idarani hapo hapo
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya mkutano wake mjini Dodoma, bila kuwapo kwa mkutano wa NEC ambao ndiyo wenye mamlaka ya kutekeleza ajenda ya kuwafukuza mafiasadi ndani ya chama.
Je, hadi...
Kwa mara yakwanza kuona jana wabunge wakijivisha vibwebwe na kuitolea radhi serikali ya kikwete nahisi kikwete anaitaaji kusikiliza hoja za wapinzani avunje baraza na kutunga upya...kweli ccm kwa...
Kuna bwana mdogo ambaye anataka kugombea ukatibu mkuu wa Tucta. Yeye ni mwalimu ameshindwa kusaidia walimu wenzake akiwa kiongozi, leo anataka ukatibu mkuu wa Tucta, Shame upon him
Jana nimesikia Dr. Jakaya Kikwete anahubiri kuwa Mtwara utakuwa mji wa viwanda kwa ajili ya gesi. Mtapata ajira na neema itawashukia. Msiwe wajinga, maana watanzania ni tu wajinga, ujinga wetu...
Ngeleja,
Hakuna cha kusubiri, uongozi ni ridhaa. Ili uongoze inatakiwa unaowaongoza waridhie na uongozi wako.
Kwa sasa hakuna mtanzania anaefurahishwa na mwenendo wa wizara unayoiongoza...
Sunday, 24 July 2011
By Bernard James
Opposition leaders Dr Willibrod Slaa and Reverend Christopher Mtikila are set to face off President Jakaya Kikwete's son, Ridhiwani, in a high-profile...
kulingana na taarifa za hali ya hewa muelekio unaonyesha kutakuwa na na mvua zitakazonyesha kwa wingi hii ikithibitishwa na mvua zilizoanza maeneo ya dar na moro. Haya wale wapinzani baada ya...
2005 wakati unaingia madarakani watanzania wengi tulikua tunamatumaini and in the first few month tulichakarika hari ya kuleta maendeleo ikawa juu. vijana walipenda CCM, kuvaa t-shirt za kijani...
Hivi ni kweli kampuni hii ndiyo inahusika na sakata la fedha za Jairo au watu wanahisi tu? Kama wao wenyewe wanajua kuwa wanatajwa sehemu sehemu ni vizuri kama watatoa kauli mapema (pre-empty)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.