Raisi Kikwete na Majibu ya Chap Chap | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Raisi Kikwete na Majibu ya Chap Chap

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Jul 27, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Mwandishi wa habari: Muheshimiwa raisi unajua ni kwanini nchi yako ni masikini?
  JK majibu: Hata mimi sijui........!

  Mwandishi wa habari: Muheshimiwa raisi utafanya nini kundokana na giza?
  JK majibu: Kwani mimi Mungu.....!?
   
 2. S

  Sambega Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Umesahau na hili.......Mwandishi; Unadhani ni kwanini watoto wa shule wanapata mimba? JK; Ni kiherehere chao! Sababu ya majibu chap chap ya JK ni mawazo mgando ya watanzania wapiga kura. Ukiwauliza;...chama zaidi ya CCM kinaweza ongoza nchi? Watakujibu; Hapana,wataleta vita!
   
 3. S

  Sambega Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 13
  Nchi yaelekea shimoni.
   
 4. O

  Omr JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nyie ndio mko shimoni, akisema mengi mtasema maneno mengi yasioyo na maana.
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nimeacha sasa kumlaumu Kikwete nawalaumu walio mpa ushirikiano aende ikulu japo hakuchaguliwa na Watanzania walio wengi(naweza kuthibitisha).
   
 6. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Thibitisha tu mkuu. Na kama hakuchaguliwa na watanzania walio wengi nani aliempeleka ikulu i.e mwenye mamlaka makubwa kuliko watz wengi.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  MAJIBU PUMBAPUMBA TUUU HATA UWEZO WAKE MDOOOGO aaaaaaa
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  walewale wasiyoipenda tanganyika!
   
 9. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,739
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa nafikiri ndiye LODI LOFA wa kwenye gazeti la sani, bure kabisa huyu.
   
 10. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,108
  Likes Received: 6,581
  Trophy Points: 280
  "............ serikali imethibitisha kwamba kikombe cha babu hakifanyi kazi ..................."
   
 11. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mwandishi: Nasikia eti ulichakachua kura.
  KJ: Ndiyo, kwa sababu nisingechakachua angeshinda Dr. wa ukweli(Slaa)
  Mwandishi: Eti ulisema kwenye kwenye kampeni Singida kuwa heri Dr. Slaa ashinde urais kuliko Tundu Lissu kuingia bungeni?
  KJ: Ndiyo kwa sababu jamaa anajua sheria na atapinga ufisadi.
  Mwandishi: Eti unaifahamu DOWANS?
  KJ: Ndo kwanza nasikia habari za DOWANS kutoka kwako!
   
 12. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  bora hata EL aliwaza kutengeneza mvua,jk hana muda wa kufikiria kabisa!yeye ni kugawa pesa tuu mara mabilioni ya jk,mara kilimo kwanza,mara stimulus package atupe tathmini ya pesa hizo!
   
 13. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  kunawakati alisema kwani NGELEJA anakosa gani??? kwani yeye ndiye aliyeomba mvua zisinyeshe.. nimecheka sana..huyo ndiye VASCO DAGAMA WETU...
   
 14. k

  kiloni JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 575
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Siwezi kugeuka wingu na kunyesha mvua kujaza mtera.

  Ukishindwa urahisi utafanya nini? Haiwezekani! tusiongelee suala hili sasa.
   
 15. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Ndio Uwezo wake..ila ana akili mnakumauka alivyokuwa anatoa tuition kwa baraza lake?
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  waliompeleka ni tume ya uchaguzi kwakuchakachua
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Tumuulize amejiandaa andaje kutoa majibu yenye msingi siku zijazo
   
 18. franksarry

  franksarry JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 9, 2009
  Messages: 1,107
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Wana JFs NEC ilishafanya kosa, tunajutaaa na tunaendelea kujuta!


  Tutategemea nn toka ktk jamii ya watu wasiopenda kujisomea?
  kama tujuavyo ktk maisha ya uongozi ni MUHIMU KUWA NA TABIA YA KUJISOMEA vitabu mbalimbali, majarida, kuwatch DVD za majarida etc.


  Kitu kinaitwa UJUHA ni jambo la hatari sana, hasa pale Ujuha unapotawala akili zetu ktk kila kitu.
  matokea yake ni vituko tuu toka ktk utendaji, mataamshi na maamuzi yanayofanyika kila siku ktk nchi yetu.

  TUSHIRIKIANE KUUPIGA VITA UJUHA....!
   
 19. Mbaliche

  Mbaliche JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  sina mbavu!
   
 20. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hana uwezo wa kufikiri zaidi ya hayo anayoyasema
   
Loading...