Mbunge wa CCM Nkasi aomba picha ya rais iondolewe kwenye kitabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa CCM Nkasi aomba picha ya rais iondolewe kwenye kitabu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pdidy, Jul 27, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,626
  Likes Received: 5,788
  Trophy Points: 280
  Kwa mara yakwanza kuona jana wabunge wakijivisha vibwebwe na kuitolea radhi serikali ya kikwete nahisi kikwete anaitaaji kusikiliza hoja za wapinzani avunje baraza na kutunga upya...kweli ccm kwa ccm kutoleana radhi ni nadra sana lakini kwa mara yakwanza mama yetu kipenzi mh anna abdallha amesema wazi awezi kuunga hoja bajeti ya wizara ya kilimo na kudai ni ya kihuni ...hu ni uhuni mtupu..watu wanalima mahindi mnakataa kununua alafu mnawakataza kuuza nje mnataka wale wapi??hilo alitoshi mhe ally keissy mbunge wa nkassi huyu akamtolea live waziri na kumwambia kwanza naomba utoe hiyo picha yako ulioiweka kwenye kitabu chako rais akishika power tiller..nakwambia wewe na bajeti yako humuleo hapa toshi nasema siungi hojakabisaaa watu wanakufa huko rukwaa nyie mnajaza mashangingi kwenye wizara zenu alisema mh keissy na kudai serikali inakusanya mapato mengi tu kwa wakulima lakini fedha azijulikani zinapoenda ...no nasema siungi hoja kabisaaaa
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  heading na kilichoandikwa tofauti
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  Kwangu mimi picha kuwepo au kutokuwepo kwenye kitabu cha waziri hakuna maana yoyote kama NJAA YA WILAYA ZILE 56 haitaondoka. Tuwe wakweli, that is just a picha, haibadirishi chochote zaidi ya imani juu ya kitabu hicho.
   
 4. Comrade Mpayukaji

  Comrade Mpayukaji Senior Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 192
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ...no nasema siungi hoja kabisaaaa[/QUOTE] Mh. Mwenyekiti hii ni serikali legelege! JK umechoka achia ngazi tuachie nchi yetu!!!!!!!!!!!!!
   
 5. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mbona wameishia kupitisha budget? Ila mzee pinda naona anawasaidia sana
   
 6. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Pdiddy ujifunze kupangilia stori zako, huwa hazina mtiririko mzuri wala vituo.
   
Loading...