Hatimae siku 21 majibu ya tatizo la umeme yanukia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimae siku 21 majibu ya tatizo la umeme yanukia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salas, Jul 27, 2011.

 1. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kulingana na taarifa za hali ya hewa muelekio unaonyesha kutakuwa na na mvua zitakazonyesha kwa wingi hii ikithibitishwa na mvua zilizoanza maeneo ya dar na moro. Haya wale wapinzani baada ya umeme kupatikani mna jipya lipi? Rais kikwete anaakili sana, majibu yake ni sahihi tatizo la umeme jibu ni mvua. Ameangalia hali ya uchumí na kugundua suluhu ni mvua kwa sasa wakati serikali inajipanga kwa kutafuta wawekezaji. Serikali haikurupuki kuna mipango na mikakati. Bravo mr President
   
 2. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  so kunyesha kwa mvua ni mpango wa rais? unahitaji kumuona dakitari
   
 3. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nachelea kusema wewe sangara ni panki wa kufikiri soma uelewe vizuri. Immediate solution na longterm solution zina maana yeyote kwako??
   
 4. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 487
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Wee SALAS inaonekana unafikiri kwa kutumia tumbo baada ya kubugia maharage. Tangu lini mvua za Dar na Moro, (tena zinyeshe msimu huu) zikatosheleza kujaza mabwawa. Mwezi wa pili/tatu/nne mvua kibao lakini mgawo ulikuwa kama kawa, sembuse sasa? Inaonekana hata geography hujasoma. Mvua ikinyesha Dar itasaidiaje kuleta umeme? Kuna mtambo wa HEP Dar? Duh bila shaka umetumwa na magamba.
   
 5. O

  Ochutz JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 466
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Du mshkaji unachemka! Yani na wewe una support ujinga! We need long term solution
   
 6. MANI

  MANI Platinum Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,872
  Trophy Points: 280
  Halafu mkumbushe kuwa mabwawa yana tope nyingi ndio maana uwezo wa kutunza maji kwa muda mrefu hayana wewe unaona bwawa limejaa kumbe robo tatu ni tope matokeo ukiwasha mitambo mwezi mmoja maji hamna.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  tumsamehe huyu jamaa, eeti anasema wapinzani tutasema nini kwani hapa ni suala la upinzani!?
  Tunataka umeme mwambie mkwele,eee sisi tunataka umeme!
   
 8. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wewe unaishi Tanzania kweli.Hata kama unataka kumsafisha Kikwete si kihivyo.Hakuna mvua kubwa za kujaza mabwawa wakati huu.Mvua kubwa nyanda za juu sana sana zikiwahi zitaanza sometimes in October.Yaani wewe ni kama unaota hivi.
   
 9. Fasta fasta

  Fasta fasta JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 620
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Yaani wewe ungekuwa karibu na mi yangekuwa yale ya niegeria. Nyinyi ndio wanafiki wakubwa na mnaendeleza hii migogoro ya siasa. Sisi hatuna tatizo na mvua kama akili yako inavyofikiri. Tunataka umeme usio wa msimu. Sasa kama mvua hazita fika huko itakuwaje, unajua ni kipimo gani cha mvua kitanyesha. Nyinyi ndio mnaokwenda kuwadanganya wananchi na kuwaibia kura zao bila kuwa na mkakati mkisubiri mungu awape ratiba.

  Kama ungekuwa unajua umuhimu wa umeme usingeandika hii theard yako. Umeme ni kitu muhimu sana katika maendeleo kwa sababu kwa asilimia kubwa unatoa ajira kwa watu, na biashara inakuwepo. Yaani serikali ingelifanyiakazi hili suala kwa umakini zaidi na kuacha blabla.
   
 10. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,577
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  Tommorrow never come!keep on waiting
   
 11. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Akili yako ilivyo fupi imekufanya uone suala la umeme ni la wapinzani peke yao.wanaccm umeme unawaka kwao?
   
Loading...