Uchaguzi wa TUCTA taifa

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,358
6,422
Kuna bwana mdogo ambaye anataka kugombea ukatibu mkuu wa Tucta. Yeye ni mwalimu ameshindwa kusaidia walimu wenzake akiwa kiongozi, leo anataka ukatibu mkuu wa Tucta, Shame upon him
 
Jina lake nilisoma kwenye gazeti gani sijui jana, ila naona kama kuna mkono wa magamba wanampigia kampeni.
 
Ni dogo mmoja kutoka Magamba anaitwa MUSA MNYETI, ni mmoja wa mavuvuzela. Aliwahi pia kuchua form ya kuwania Uspika wakati akisoma UDSM

Kwa nguvu zote tulizonazo huyo asiiiiipiteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,
 
Bila shaka wewe umetumwa kumuchafulia jamaa jina.So kinacho kusibu ni nn umri wake au kazi yake?sisi tunataka yeyeyote mwenye dhamira yoyote ya kuwakilisha matakwa ya watu kama jamaa anafaa atapata bila kujali kazi au umri wake.Kwani hao vibosile wako wametufanyia nini? Mbona sasa huna hoja?
 
Stop being negative to everybody. Kugombea kwani ndo kushinda. Mbona hata Dovutwa, Mzirai nao waligombea uraisi wa JMT. Sebuse TUCTA? Kila mtu anahaki ya kikatiba, hata wewe unaweza kugombea kama unazo sifa.
 
Ni dogo mmoja kutoka Magamba anaitwa MUSA MNYETI, ni mmoja wa mavuvuzela. Aliwahi pia kuchua form ya kuwania Uspika wakati akisoma UDSM

Huyo nakumbuka pia alitaka kuchakachua uchaguzi mkuu wa CWT kule arusha. Amepandikizwa na CCM. Huyo mtuu ni hatari na anasaidiwa na vyombo vikubwa vya usalama hivyo tujiadhari. Mkimwingiza huyo jamaa Tucta imekufa. Anatumia pesa kuhonga wajumbe ili achaguliwe, pesa hizo anapewa na magamba yahani serikali ya magamba
 
Alipambana na Mukoba Arusha kisha akashindwa, walifanya mbinu chafu kupindua matokeo ikashindikana na akajifanya kufungua kesi sijui iliishia wapi lakini ni pandikizi la serikali ya magamba. Huyo ni sumu wakuu tusikubali kumchagua hata kidogo
 
Mbini zote walizozitumia watu walizijua na mshirika mkubwa katika hilo ni rizinambamoja mtoto wa rahisi.
 
Kuna bwana mdogo ambaye anataka kugombea ukatibu mkuu wa Tucta. Yeye ni mwalimu ameshindwa kusaidia walimu wenzake akiwa kiongozi, leo anataka ukatibu mkuu wa Tucta, Shame upon him

HUYO NI SHUSHUSHU WA SERIKALI YA MAGAMBA HAFAI KABISA ATATUMALIZA WAFANYAKAZI TZ. ALISHINDANA NA MUKOBA AKASHINDWA KULE AR akashindwa.
 
Stop being negative to everybody. Kugombea kwani ndo kushinda. Mbona hata Dovutwa, Mzirai nao waligombea uraisi wa JMT. Sebuse TUCTA? Kila mtu anahaki ya kikatiba, hata wewe unaweza kugombea kama unazo sifa.

Kaka siyo hivyo huyo tunamjua hana lengo jema ni pandikizi cha magamba na anatumia mlungula kuhonga wajumbe na hata kuiba kura tunayo rekodi kutoka kule arusha. Usalama wa taifa walitumika
 
Asanteni sasa tunamjua, kwakuwa na mimi ni mpiga kura kwenye uchaguzi, kampeni naanza kwenye vyama vyote vinavyoiunda Tucta.
 
Asanteni sasa tunamjua, kwakuwa na mimi ni mpiga kura kwenye uchaguzi, kampeni naanza kwenye vyama vyote vinavyoiunda Tucta.

Huyo jamaa tunamjua tangia akiwa UDSM, alikuwa kundi moja na akina KAPENJAMA, SHIGELA na akina RIDHIWANI ni mchumia tumbo ile mbaya wala hana uchungu wowote. HAFAI KABISA
 
Back
Top Bottom