SIKU 90 za Magamba zimekwisha, gamba bado limeng'ang'ania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIKU 90 za Magamba zimekwisha, gamba bado limeng'ang'ania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Jul 27, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinafanya mkutano wake mjini Dodoma, bila kuwapo kwa mkutano wa NEC ambao ndiyo wenye mamlaka ya kutekeleza ajenda ya kuwafukuza mafiasadi ndani ya chama.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Je, hadi hapo nani anaweza kubisha kuwa CCM haina uwezo wa kushughulikia mafaisadi? Nape awekwa uchi siku 90 zimekwisha. Naomba kuwasilisha.[/FONT]
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
Loading...