Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nipe tano, Jul 18, 2011.

 1. N

  Nipe tano Senior Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari ZA uhakika, BAADA ya kufanikiwa MBEYA Yule vuvuzela WA CCM kutua Arusha JUMAMOSI wataandamana na kuhutubia mkutano WA hadhara stendi KUU Arusha.


  Source; CCM HQs
   
 2. POSHO MAVYEO

  POSHO MAVYEO JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  si walikuwa wanapinga maandamano hawa sasa imekuwaje wanatoa copy?

  ila LINAPE linamoyo aiseee kaaaa sijawai ona kitu roho ngumu kama NAPE
  HIVI ANAKULA NYAMA ZA KAWAIDA/NG'OMBE KWELI HUYU?
   
 3. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwani maandamano si uvunjifu wa Amani??? Kweli makabwela wana mambo. CCM ni wafu, wanakula matapishi kila siku. Oooh hakuna mafisadi, oohh maandamano ni uvunjifu wa amani, kiko wapi.

  Ngoja nichukue mick nianze kupambana. Wameona CDM wako bungeni wanakusanya data wanachachawa.
   
 4. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Yangu macho na maskio yote yatakuwa Arusha kama hajapewa vitasa huko sijui!!
   
 5. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ataiga kila kitu.
   
 6. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nape kuiteka Arusha mjini ni ndoto. Atakuwa anapoteza muda wake bure sababu Arusha sio sawa na huko kusini sijui Songea ama Ruvuma alikopita. Ni sawa na Obama kwenda kupiga campaign Utah atapoteza muda tu!
   
 7. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ccm, cuf, tlp wote wana haki ya kueneza sera nchi nzima ninaomba vijana wa cdm Arusha wasijihusishe kwenye vurugu yoyote na wakaazi wa huko wahiari wenyewe kwenda ama kubaki majumbani

  We know who rules in Arusha!
   
 8. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo CCJ baada ya kuzindua kampeni ya urais Mbeya wanahamia Arusha kwa Lowassa kaazi kweli kweli

  CCJ na CCM-RACHEL chini ya mwenyekiti mmoja Kikwete ngoja wanyukane wao kwa wao kwanza

  ni vita vya panzi hivyo kazi ya Chadema itakuwa rahisi ni kuokota panzi waliolewa wasio na mabawa na kutia kwenye gunia moja.
   
 9. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,686
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  You think so?Lema hawezi kusimama na Kinana hata siku moja,we gave you Arusha and you are f2#king it up big time!
   
 10. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kobello sikujua kama wewe ni magamba.
  Anyway, back to the story CCM candidate yoyote yule awe Waria Kinana, Chatanda etc. hawezi kuichukua Arusha mjini tena labda waende Manyara. I can bet that for a million $$. Wanna bet?
   
 11. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Hivi pamoja na watu kuwa gizani bado hawa CCM wana guts za kwenda kupiga kampeni? Kweli Watanzania wamelala, na watu wanaenda kuwasikiliza. Kwa hiyo kwenye mikutano Nape anasema mafanikio ya CCM ni yepi haswa ?
   
 12. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wana Igunga wapo wengi sana kila kona ya nchi hii
   
 13. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #13
  Jul 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mimi nakusalimu mkuu Rufiji habari za masiku .Umepotea sana sana hapa .Mie siwezi mjadili Nape na wapuuzi wenzake for sure .
   
 14. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,686
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Yep,CCM by blood.
  Arusha will never belong to CDM,and yes I wanna bet!
   
 15. Rufiji

  Rufiji JF-Expert Member

  #15
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 18, 2006
  Messages: 1,710
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 160
  Lunyungu,

  Nipo ndungu yangu, ila mambo yanayoendelea kwa sasa hapa nyumbani yanakatisha tamaa. Mtu unashindwa hata kupata nguvu ya kutype. CCM lazima ijue ya kuwa ni chama tawala, kwa hiyo kama chombo chetu kinaenda mrama basi lawama zote ni zao. Sasa huyu Nape anapozunguka na kuzungumza ujinga wakati Watanzania wengi wako kwenye mgao mkali ni upumbavu wa hali ya juu. Infact, vikao vyake ni matusi makubwa kwa Watanzania.
   
 16. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nimehuzunika sana kusikia wewe ni mwanamagamba! I can't believe it!
  I don't belong or affiliated to any political party in this country, but the idea of someone as smart as you belonging to magamba just make my stomach sick.....esp. after all these decades of sufferings, endless poverty, corruption, mgawo wa umeme etc.....Seriously!
  I'm just shaking my head in disbelief, Kobello!!
   
 17. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #17
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hivi humu JF wengi naona tupo kiitikadi zaidi kuliko facts. Imagine wewe member ni mwalimu, utahutubu itikadi yako ama facts. Tusitumie kutoelewa kwa waTZ wengi kuwapotosha, ni vizuri kueneza ukweli ili wananchi wote tuwe na msimamo sahihi. Nilibahatika kusoma riwaya ya KULI, nilimkubali sana Chonya wa Chilinwa alivyokuwa responsible na kumuhudumia jamaa pale stand alipokuwa anapiga debe na kumpeleka Hospitali ingawa watu walimchukulia ni chizi. Alitoa msaada mkubwa na wa muhimu kuliko watu waliokuwa na uwezo na nafasi zao. Ni vizuri tusithamini watu kwa majina yao, bali kwa uhalisia wao unaohitajika kwenye jamii pamoja na huduma waliyojitolea. Inaleta maana zaidi tukimthamini mtu klwa mchango wake chanya kwenye jamii kuliko umaarufu/usomi/utajiri wake.
   
 18. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #18
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
 19. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,686
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  You shouldnt,
  A lot of CCM members have the same ideas as CDM members.A lot of CCM members are suffering,we had our peak agricultural output,literacy rate,sports achievements without forgetting our identity that we were the lader of the frontline states during ujamaa era.Privatisation,a policy that is favored by CDM(currently executed by CCM) is the one thats killing us,we had a good policy that needed some fine tuning.
  About fisadis,yeah i hate them but economically,if they were leaders who illegally took peoples money and invest in some worthy projects,we wouldnt mind that much,cos that will be our money invested in our economy.But these people let foreigners rape our country through multinationals.
  So,even if we are from different parties (CDM,CUF,CCM) we still have a lot in common.Iwill never be a CDM member,no offense but our founders have a different view of Tanzania,and what sux is,they are still running these parties.
  At the end of the day,it is what it is.
   
 20. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Filbert Bay alitesa duniani wakati Tanzania inatawaliwa na TANU.

  Ilipozaliwa CCM, tukazipiga na nduli Iddi Amini na kuanzia hapo hadi leo tunazidi kufunga mikanda.
   
Loading...