CCM ikishindwa tutakulaumu JK (a short letter to Mh Rais ) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM ikishindwa tutakulaumu JK (a short letter to Mh Rais )

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mawazotu, Jul 27, 2011.

 1. mawazotu

  mawazotu Senior Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  2005 wakati unaingia madarakani watanzania wengi tulikua tunamatumaini and in the first few month tulichakarika hari ya kuleta maendeleo ikawa juu. vijana walipenda CCM, kuvaa t-shirt za kijani ilikua ndo dili , nakumbuka vijana vyuoni waligomania kadi na t-shirt za chama , wazee walipata matumaini mapya, wanawake wakatapa wizara nyeti ( fedha, mambo ya nje) all this changed baada ya nchi kutikishwa na kashifa ya Richmond ambapo tulishuudia waziri mkuu Mh E. Lowassa akijiuzulu na baraza la mawaziri likivunjwa .mambo yakabadilika kabisa mpaka sasa nchi haijatulia,kuanaambao wanasema Mh E lawassa alikua ndo master mind wa utawala wa Mh J. kikwete. which is also a debatable issue. a good leader will be seen in the time of crisis that is all i can say...... ..
  Ulipoanguka Mh Rais ni wapi? wengi wanasema ni kukosa msimamo, wengine wanasema kuendekeza urafiki kwenye kuongoza nchi, wengine wanasema ni mtu wa makundi ndo maana aliingia kwa mtandao na kuchafua watu. wengi wansema ni kupenda sifa, its about time Mh Rais afanye maamuzi magumu kuongoza nchi yetu.
  Kukutana na CHADEMA kwa mazungumzo . uchaguzi umeisha ata mwaka ujapita mkiongea ni wapi waliteleza ili uchaguzi ujao uwe wa huru na wahaki mambo kama ya tume huru yajadiliwe kwa kina with honesty. hii itasaidia chadema kutuliza moto kidogo kwa sababu mda huu vijembe kwa CHADEMA havisaidii vinatia mafuta kwenye moto tu.
  Mtulize Nape we all know Nape ni mtu wa makundi sasa unapompa majukumu makubwa na unasema atakalo sema ndo tamko la chama apo ndo watu wanashangaa chama kikubwa kama CCM kunachotakiwa kuongozwa na vikoa vya juu na matamko yaliopitishwa kwenye vikao sasa unampa jukumu hilo mtu mmoja,
  It's also important Mh Rais ukakaa na Mh S. Sitta wazungumze kiutu uzima kwa sababu kauli zake tata hasisaidii serekali wala chama. na ni muhimu wa tuhumiwa kama wakina Mh. Chenge na rostam wafikishe mahakamani kama ushaidi wa kotosha upo,mambo ya kujuvua gamba hayaziti kuonyesha uzaifu wa chama kama mnawajua wavueni gamba siyo wajivue, haya ndo mambo kama ya EPA watu wanaombwa warudishe pesa. kama chama tawala chenye serikali kinaona kuna watu mafisadi (magamba) hakuna haja ya kuwaomba wajivue gamba ni kuwafukuza na kuwapeleka maakamani ( i know it's not easy kwasababu ulipita kuwanadi kwenye uchaguzi ukisema ni watu safi) funga macho komaa nao tu. Usipoamka sasa CCM ikishindwa tutakulaumu wewe.
   
 2. BASHADA

  BASHADA JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 482
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Unapoteza muda wako bure kuandika barua ndefu hiyo, sikio la kufa halisikii dawa.
   
 3. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 9,616
  Likes Received: 2,944
  Trophy Points: 280
  Kikwete hilo la CCM kuanguka halimnyimi usingizi yeye amefanikiwa kutimiza ndoto yake ya kuwa rais basi.
   
 4. mawazotu

  mawazotu Senior Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 27, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  watu hatutamkumbuka kwa kuwa Rais bali kwa kukiua chama
   
 5. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  sio kuua chama tu, kiwete ameua uchumi wa nchi kwa ujumla, sio kiwete ni kikwete
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  umeongea kweli lakini sijui nani atakusikia ccm INASTAHILI KUFA TUU!
   
 7. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,586
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi, CCM haiwezi kuja shinda uchaguzi kamwe ila haitakubali kutoka madarakani mpaka yatokee yaliyotokea ya Ivory Coast, Kenya etc. JK ana kura ya turufu kuhusu mgombea wa chama gani awe rais na unajua kuwa muwamba ngoma..., hawezi kuitosa CCM ila kura yake inaweza kuitosa na kuizamisha nchi kama asipoitupa. Mchezo wa marais waliopita kuamua nani awe rais ulianzishwa na Nyerere kwenye uchaguzi wa zanzibar 1995 na hivyo waliobaki wanaufuata, mpaka pale uje ku-backfire. I hope that would be 2015!
   
 8. O

  Omr JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usiwe na wasiwasi kijana, CCM haitashindwa labda miaka 100 mbele kitakapo kuja chama chenye msimamo
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,742
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145

  sikubaliani na wewe kwenye nyekundu mbona kikwete alijichagua mwenyewe, hakuwa chaguo la mkapa??
   
 10. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuuu badilisha title kwanza isomeke "CCM ikishindwa TENA tutakulaumu JK".

  Halafu mbona kama unasomeka kwamba wa kufikishwa mahakamani ni RA na CHENGE tuu? Vipi kuhusu Lowasa ... mkuu nihakikishie kwamba sio kwamba unampigia chepuo fisadi Lowasa.
   
 11. F

  FUSO JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 10,455
  Likes Received: 850
  Trophy Points: 280
  Kaamua kuiua CCM kwa makusudi. kazi kwenu magamba 2015, Mtavuna mlichopanda.
   
 12. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 8,846
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  Hilo la kushindwa kwa CCM hata mimi naona halimnyimi usingizi JK may be akina Sitta, Lowassa, Mwandosya na Nchimbi ambao wananyemelea Magogoni!!
   
Loading...