Mnaotoka Mtwara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnaotoka Mtwara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHUAKACHARA, Jul 26, 2011.

 1. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Jana nimesikia Dr. Jakaya Kikwete anahubiri kuwa Mtwara utakuwa mji wa viwanda kwa ajili ya gesi. Mtapata ajira na neema itawashukia. Msiwe wajinga, maana watanzania ni tu wajinga, ujinga wetu unatumiwa na wana siasa kisiasa.

  Mjiulize kwanza: Kule kwenye Dhahabu Buhemba, Nyamongo kukoje, ni jahanamu, Merereni kukoje ni jahamanu, kwenye mbuga za wanyama kukoje, ni jahanamu. You will not be an exception!!! Jahanamu inawasubiri. Mtahamishwa bila fidia, mtadhulumiwa . Hakuna cha ajira!!!

  Kote Africa kwenye gesi, mafuta ni jahanamu-Nigeria ikoje!!! Bhoko Haram ni akina nai!!! Just wait and see!!!!! Historia inatwambia hivyo, na wala huu si uchochezi, ni sheria ya historia ya madini Tanzania. Mafuta na gesi itakuwa hivyo.
   
 2. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Unam miss quote alichosema.
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Wala sija miss-quote, Amesema kutakuwa na viwanda, ajira etc, neema inakuja!!! Ninachosema ni kuwa hakuna neema. Wasubiri treatment kama ya Nyamongo, buhemba etc . hakuna lolote la neema.
   
 4. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwani kasema nini?
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Japo huwa mara nyingi sikubaliani na JK but he's very right kwenye hili. As we speak (sorry type) Mtwara hakuna hoteli kwa sasa za kuhost hao watafuta mafuta na gesi, wengi wao wanakaa hoteli za Dar na kufanya kazi Mtwara.

  All in all to my fellow citizens that side cha muhimu wanachoweza kuhangaika nacho kwa sasa ni ardhi, waikamate vizuri na kuhakikisha wao ndiyo watakaoipangisha to the future residents and investors na si kuiuza. JK alitakiwa awasaidie wale wananchi kwa hili. It doesnt matter hata 20-30km out of town.

  Mtwara will be the only LNG capital of the whole eastern coast of Africa in some near future, who knows 20 yrs to come it might be more populated than Dar. Mark my words.
   
 6. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huna lolote mzushi tu, kwa hiyo ulitaka hayo mafuta na hiyo gesi viendelee kukaa tu chini, na unataka nani aje kufanya hivyo il hall sisi wenyewe tumeshindwa kuchimba? barabara ya Masasi - Songea imeshaanza kujengwa unataka kutuambia nini. Hujui unenacho.
   
 7. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,833
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Na leo nimesikia kuwa atatembelea wilaya za Mtwara rural na Tandahimba,hivyo wana Jf Mlioko huko mtujuze yatakayojiri huko.
   
 8. T

  TUNTUUU Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napita tuu coz ndo nimeingia for the first time baada ya kuchoka kuwa msomaji.
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Jul 26, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  porojo tu hizi tumezizoea kule kigoma aliahidi nini?
   
 10. Petiro

  Petiro JF-Expert Member

  #10
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama wameamini hizo ahadi za j.K wajue imekula kwao kwani wengi wao wa watakao mwamini ni mapoyoyo. wakumbuke cku zote jamaa huwa nimwepesi wa kuahidi ila utekelezaji wake ni approx zero. Na wale wanomtetea walete maelezo ya wapi rasilimali asilia zimewafaidisha wanyeje? nyamongo, serengeti, mererani etc kote ni choka mbaya
   
 11. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #11
  Jul 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  Jamani Mtwara kuzuri sana sana siku hizi kwani nilipokuja Dar wiki tatu zilizopita nilitembelea mtwara kwa mwaliko wa Rafiki yangu kwa siku moja. Kwanza kabisa kuna ndege 540 zinakwenda mara mbili kwa siku na bei yake ni kama 57 Dollas return ticket.

  Mtwara kuna hotels mzuri sana na sehemu nzuri sana za kupata chakula kama makonde beach club ambayo ipo kwenye mwambao wa bahari ya hindi.

  Kuna makampuni mengi ya uchimbaji wa gesi na upanuzi wa bandari.

  Nina hakika kabisa kama tanzania itachangamka basi Mtwara ni sehemu moja tegemeo kwa kufufua uchumi wa tanzania

  Nitawawekea picha za mtwara nikinafasika baadae inshallah.
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 764
  Trophy Points: 280
  Daraja la malagarasi and guess what? limeanza kujengwa na i can tell you wakati mnaendelea kukejeli Mtwara inaimarika kiuchumi na kibiashara kila siku. Siasa za kitanzania za kipuuuzi sana, ina maana kama kusoma hujui basi hata picha huoni?
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,766
  Trophy Points: 280
  Naamini wewe ndo hujui unenalo............. ..?? Hapo alipo JK sidhani kama hata anakumbuka aliahidi nini wakati wa uchaguzi.............
   
 14. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #14
  Jul 26, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Kwa ufupi Mtwara ni future ya TANZANIA,
  ahsanteni sana, endeleeni na mjadala.
   
 15. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #15
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,766
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe, hotel nzuri unamaanisha ile inayoitwa msemo...???
   
 16. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #16
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,766
  Trophy Points: 280
  Sishangai maneno hayo...........TULISHAAMBIWA SANA KUWA VIJANA TAIFA LA KESHO.........LAKINI HADI TUNAZEEKA BADO HAJUWAHI KUWA TAIFA..............na Kingunge bado ni mzee taifa la leo. SO WAIT FOR MTWARA FUTURE
   
 17. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #17
  Jul 26, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 940
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Umewahi kufika Mwadui Shinyanga? Jamani tusiwe wavivu wa kufikiri. Angalia sehemu ambazo kuna madini hapa nchini then angalia level ya maendeleo yaliyofikiwa.
   
 18. R

  Ronaldinho Member

  #18
  Jul 26, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I have been to Mtwara Several times so i can tell how potential that town is!We only need some prudent investment minds to transform that town.
   
 19. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #19
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Ninachosema ni kuwa watachimba gesi, mafuta etc, lakini wanyeji wataambulia kuwa kama nyamongo, serengeti, buhemba, wamasai waliohamishwa kwenye ardhi yao, kule inakotua ndege kuchukua wanyama etc. hatawanufaika na chochote. Historia inasema hivyo na hakuna mwenye dhamira ya kuibadilisha kwa sababu ya ufisadi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 20. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #20
  Jul 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Hujanielewa, nasema wenyeji hawatanufaika na lolote litakalofanyika pale. wataendelea kuwa duni tena zaidi. Historia inaonyesha kuwa popote penye madini wenyeji wanapata taabu kama kuhamishwa, kuuawa na ukatili mwingine. Watachimba gesi, mafuta, chuma they will not get any benefit from this wealth. Wataambulia shule ya matofali ya kuchoma na madawati. Is this worthy of all that resources they will tape?
   
Loading...