"Tafadhali chukua tu hivi vitunguu nahitaji pesa kwa ajili ya mafuta ya taa, keshokutwa ukipita hapa utanilipa hiyio pesa".
Ni kauli ya Mama wa Kijiji cha Kilombero, kilometya chache kutoka...
mh! zitto upo bungeni kweli? takriban wizara tatu sasa bajeti zake zimejadiliwa sijakusikia ina maana huna cha kuchangia kwenye wizara hzo? mfano w.uvuvi mmepitisha bajeti yake nilidhan ungekuwa...
Mbunge wa Mtera(CCM) Livingston Lusinde amesema bungeni kuwa, adui mkuwa wa serikali sio Chadema bali ni utendaji mbovu wa serikali yenyewe na kuendeleza visingizio visivyokuwa na msingi wowote...
Meneja Mkuu wa shirika la usafiri UDA ndugu Victor Milanzi anazungumza na waandishi wa habari leo kueleza kile anachojua kuhusu tuhuma za Meyor wa jiji ndugu Masaburi yeyote aliyepo karibu na...
mimi nahic cdm bado hawajakomaa kisiasa...kw nn msilete maendeleo pale ambapo sisiem imeshndwa ili cc watanzania tuwaamini kama mnaweza kuongoza si kulalamika tu, wananch tulie na nyie mlie nani...
kuna taarifa zisizo rasmi kuwa maalim seif amekuwa akitofautiana kwa kiwango kikibwa na serikali ya ccm
habari zilizotufikia zinasema maalim seif ameshauriwa na chama chake kuachia ngazi kwenye...
Jamani nimesoma gazeti la Nipashe Jumapili, linasema kuna kontena 5 zenye uzito wa tani 25 kila moja,habari hizo zinasema samaki hao wametokea mji wa Fukushima ambao mji huo maji yake ndiyo...
Wanajamii,.
nikiwa mmoja wa wazalendo na wapenda maendeleo ya nchi yangu, na mwanaharakati niniye guswa na matatizo yanayo ikumba jamii ya kitanzania hasa kutokana na athari za kisiasa, napenda...
Habari KUTOKA ndani ya CCM na vikao vyake zinasema Bw. January Makamba kutua Igunga KUJARIBU kushawishi vijana kukisaidia Chama Cha Magamba. Je January atamudu vishindo vya Makamanda?
Kuna watu wameandika thead ihusuyo kujiuzulu kwangu, ndani yake kuna ukweli lakini pia kuna upotoshaji wa baadhi ya mambo. Naomba nitoe maelezo sahihi.
Mimi nimekuwa mwenyekiti wa Chadema ubungo...
Uhali gani mwanaforum. Nimekuwa mtu mwenye mitazamo chanya na hasi hasa ktk serikali ya JK, Ila naweza sema sijawah kuchoka kusema na leo narudia tena, serikali ya Rais wangu mpendwa JK, LAZIMA...
KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, amesema madiwani watano wa chama hicho kati ya 11 waliodai kuhusika na uingiaji mwafaka na CCM, wamewasilisha barua za kuomba radhi ofisini kwake.
Hatua...
Naomba mtupatie clear strategy ya namna mtakavyotatua tatizo la umeme.
we need to see your strategic plan na solution
ONYO: Enough with blame games hivyo naomba we leave CCM na akina EL na Rotam...
Norway is a REAL friend and partner wa nchi yetu. Lakini cha kushangaza its more than 24 hrs none of our selfish & out of touch politician from both sides of the spectrum including opposition...
The power rationing that began late last year is now a lot worse, thanks to our well-documented inability to plan for the future.
As a result, Tanesco employees are now the only workers of a power...
Alhamisi tarehe 28/07/11 Wizara ya Mambo ya ndani itawasilisha hoja/bajeti yake bungeni. Wizara hii inasimamia uhamiaji, polisi, magereza na hata usalama barabarani. Akiwa kama Waziri kivuli...
Kwanza pokea salaam zangu za dhati kutoka ktk eneo linaoongoza kwa mgao Tanzania nzima kuliko maeneo yote Mh. Wiliam Ngeleja.
Ni Waziri wa nishati na madini Mh. Wiliam Ngeleja aliyevunja rekodi...
Mimi sina majibu lakini watanzania wana majibu...kule igunga kuna baadhi ya watanzania...uchaguzi mdogo wa igunga utanipa baadhi ya asilimia fulani kupata majibu...vyama vikubwa vyote vitakuwepo...
Tangu nianze kuangalia bunge la TZ kwa awamu hii na kuwaona wabunge mbalimbali wakichangia hoja kinachonivutia ni staili ya uchangiaji wa mbunge wa Vunjo mh. Mrema, yy hawezi kuchangia hoja pasipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.