Nilazima uwongozi huu Mungu aufute | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nilazima uwongozi huu Mungu aufute

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TumainiEl, Jul 28, 2011.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,647
  Trophy Points: 280
  Uhali gani mwanaforum. Nimekuwa mtu mwenye mitazamo chanya na hasi hasa ktk serikali ya JK, Ila naweza sema sijawah kuchoka kusema na leo narudia tena, serikali ya Rais wangu mpendwa JK, LAZIMA MUNGU ATAENDA KUIFUTA KABLA DAM HAIJAMWAGIKA, NILAZIMA TUJUWE HALI YA UCHUMI KUANGUKA WAKATI, USD NA OTHER FOREX ZIMEKUWA ZIKIPANDA THAMAN DHID YA DOLA,KUPAA KWA UKALI WA MAISHA,DHIKI KUBWA INAYO WAKABIKI WATANZANIA WAKATI WACHACHE WAKITAFUNA MA BILION YA TSH NA SERIKALI IPO KIMYA. Hakuna mtu wakuwasemea wa Tanzania, hakuna wakuwajibia watanzania. Rais wetu anajibu majibu yasio na vision as Leader. Nilazima mjuwe ya kuwa rais/kiongoz kukosa vision nchi au taasisi lazima ife. Umefika wakati kwa hekima na upendo washauri wa Rais either wampe nafasi kufanya maamuzi magumu kwa masilah ya nchi ama kuachia kiti, tupate viongoz wapya. Tunakushukuru kikwete kwa kuwa rais wa Taifa kubwa Tanzania. But kwa alama za nyakati unaitajika kuchaguwa mambo makubwa mawili kufanya hard decisio kuanzia wakurugenz,mahakimu,wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa,idara za usalama wa taifa,jeshi,mawaziri, manaibu na makatibu wakuu ama upishe kiti aje Rais mwingine afanye mabadiliko u must knw different btn Polits and Economics of nation. Ukichanganya haya mambo taifa litaanguka. Thx. Mungu ibarik Tanzania na Watu wake. Amen
   
Loading...