Waziri Ngeleja aula!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Kwanza pokea salaam zangu za dhati kutoka ktk eneo linaoongoza kwa mgao Tanzania nzima kuliko maeneo yote Mh. Wiliam Ngeleja.
Ni Waziri wa nishati na madini Mh. Wiliam Ngeleja aliyevunja rekodi ya kujulikana Tanzania kuliko wabunge na mawaziri wote awamu hii kutokana na mgao wa umeme. Na ni waziri ambaye bajeti ya wizara yake imekataliwa na wabunge wote hata wale wa magamba bila kujali itakadi na umagamba wao!
Umejulikana hata kumzidi waziri Mizengo Pinda aliyethubuti kulidanganya bunge ili azidi kujulikana lakini umempiga fimbo!
Kwa kweli mheshimiwa kwa dhati kabisa nakupa big up! Hongera sana mheshimiwa kwa kazi unayofanya!
Nakuomba kwa dhati kabisa mheshimiwa uendelee na mgao wa umeme ikiwezekana hata BUNGENI na IKULU na hata mabalozi yote ya Tanzania yaliyoko nchi zingine ili uweze kujulikana zaidi. Big up mheshimiwa!!
 
We acha mambo hayo atakukatia umeme akikusikia kumbuka ile methali inasema ukimsifu ngeleja atakukatia ume.......
 
Ulichoandika hakiendani na title ya thread.UPOTOSHAJI WA MAKUSUDI.Nyie ni mfano wa yale magazeti yanakuja na bonge la title ndani utumbo.stop ths mkuu,hata ungeandika kwa title nyngne tungesoma.SORRY THOUGH!
 
Ulichoandika hakiendani na title ya thread.UPOTOSHAJI WA MAKUSUDI.Nyie ni mfano wa yale magazeti yanakuja na bonge la title ndani utumbo.stop ths mkuu,hata ungeandika kwa title nyngne tungesoma.SORRY THOUGH!
Huyo utakuta ni katika waandishi au wahariri wa hayo magazeti.
 
Waziri Ngeleja aula! Nimesoma thread yote lakini sijaona alipo ula! Umeandika utadhani gazeti la kiu
 
Yuko sahihi kwani hata huku kwetu umeme ukikatika utasikia hata watoto "Ngeleja", je uo sini umaarufu?
Ila tunatakiwa kujua Ngeleja kwa kisukuma ni nini? Maana pengine lina maana nyingine na wazazi wake walisha jua hilo mapema.
 
Unajua CCM wameikataa bajeti ya ngeleja si kwa sababu ya masilahi ya inchi na wananch wake, bali mgao wa umeme unaathiri biashara zao.
 
Umeandika taito iko opoziti kabisa na konteni. Unakuwa kama Nape bana! Picha ya msibani anasema eti wamethubutu na wameweza!
 
Back
Top Bottom