Mh! zitto upo

TODO

JF-Expert Member
Jul 14, 2011
219
62
mh! zitto upo bungeni kweli? takriban wizara tatu sasa bajeti zake zimejadiliwa sijakusikia ina maana huna cha kuchangia kwenye wizara hzo? mfano w.uvuvi mmepitisha bajeti yake nilidhan ungekuwa na hoja maana hta kwenu kgm kuna uvuvi,mfano dagaa niwapendao wapo kgm
 
Si kila mbunge anapata nafasi ya kuchangia kila bajeti. Kuna utaratibu unaotumika kuwapa nafasi kwanza wale walioomba na hawajachangia katika wizara nyingine.
 
Asubuhi yote hii unamuwaza mtu yuko kwenye mkutano mwingine wa mabunge ya jumuiya ya madola Ulaya?
Anyway pole best.
 
Si kila mbunge anapata nafasi ya kuchangia kila bajeti. Kuna utaratibu unaotumika kuwapa nafasi kwanza wale walioomba na hawajachangia katika wizara nyingine.
Umemaliza mkuu,atakuwa amekusikia huyu jamaa!
 
NIlimuona kwenye picha akiwa UK sasa sijui ni current au muda umepita....
 
duu kwa hiyo bunge lote umemuona zito tu hujui cdm mkichangia tu utasikia Sajent Ammi njoo umtoe huyu mh.
 
HIvi huwa unasikiliza bunge vizuri? ina maana ni zito tu itakuwa kila siku anaongea? Hujawahi msikia spika anasema leo wataanza kuchangia wale ambao hawajachangia kabisa au wamechangia mara moja tuu!! Nafasi zinabanwa these days!!
 
duu kwa hiyo bunge lote umemuona zito tu hujui cdm mkichangia tu utasikia Sajent Ammi njoo umtoe huyu mh.

hapana haimanishi bunge lote nimemuona zitto ila nimeshangaa kuona bajeti ya wizara tatu kupita bila kusikia akichangia na hii sio kawaida yake maana amekuwa ni miongoni mwa wabunge wachache wanaochangia sana.hata hivyo thanks nimejua alipo kupitia humu humu kwenye jamvi.
 
mh. Zitto yupo, anafatilia mjadala pia akipanga makombola makali kwa ajili ya mambo. Tuwe na subra!
 
NIlimuona kwenye picha akiwa UK sasa sijui ni current au muda umepita....

IMG_9072.JPG
 
Back
Top Bottom