Tupo tayari kutatua tatizo la umeme

COALS

New Member
Jul 22, 2011
1
0
Wanajamii,.
nikiwa mmoja wa wazalendo na wapenda maendeleo ya nchi yangu, na mwanaharakati niniye guswa na matatizo yanayo ikumba jamii ya kitanzania hasa kutokana na athari za kisiasa, napenda kutumia jamii forum kuwafikia wanaharakati wote kuwa tumejitolea wenyewe kwa kusaidia na wadau wengine kuwekeza kwenye umeme,.hivyo tunawaomba watu wote kama wewe, au unamfahamu mtanzania anae miliki eneo kihalali eneo lenye makaa ya mawe (coal) basi awasiliane nasisi kupitia jamii forum..aache namba yake ya simu au email yake tutampigia ili tufanye naepartnership au kutuuzia maeneo yake ya makaa ya mawe ili sisi tuyatumie kuzalisha umeme ndani ya miaka 2 baada ya kufanya DD (DUE DELLIGENCE)..sifa ya mkaa uwe na less than 0.6 sulphur, pia uwe na kuanzia 6200kcal..we pay cash after DD.
thanks
acha email yako, au namba ya simu hapa au tuma contact zako kwenda 0757 74 50 65..thanks..
 
Tunaweza tumethubuta na tutashinda.kazeni buti wakubwa.hongereni kwa moyo wa kizalendo.vip mmejaribu kuwasiliana na serikali ili mmilikishwe eneo?
 
Wewe ni Rostam nini kwanini ununue kama unauchungu! na usiingie nao ubia na hao wenye maeneo nao pia wafaidike Haya magamba yanatengeneza Matatizo then yanajifanya yana uchungu ati wauziwe maeneo Wasaidie nchi au mtatoa huo umeme bure? hii nchi inatakiwa ishikwe na watu wenye akili iwafyekeni nyie mumiani
 
lenye makaa ya mawe (coal) basi awasiliane nasisi kupitia jamii forum..aache namba yake ya simu au email yake tutampigia ili tufanye naepartnership au kutuuzia maeneo yake ya makaa ya mawe ili sisi tuyatumie kuzalisha umeme ndani ya miaka 2 baada ya kufanya DD (DUE DELLIGENCE)..sifa ya mkaa uwe na less than 0.6 sulphur, pia uwe na kuanzia 6200kcal..we pay cash after DD.
thanks
acha email yako, au namba ya simu hapa au tuma contact zako kwenda 0757 74 50 65..thanks..

Wewe ni Rostam nini kwanini ununue kama unauchungu! na usiingie nao ubia na hao wenye maeneo nao pia wafaidike Haya magamba yanatengeneza Matatizo then yanajifanya yana uchungu ati wauziwe maeneo Wasaidie nchi au mtatoa huo umeme bure? hii nchi inatakiwa ishikwe na watu wenye akili iwafyekeni nyie mumiani

Mkuu soma vizuri hapo kwenye Bold..., hayo mengine unayosema labda ni sawa lakini option ya Ubia pia ameiweka...
 
Huu ndio uzalendo wa kweli! Haya watu wenye hayo maeneo fanyeni hima tuliokoe taifa analoliangamiza mkweree!
 
Back
Top Bottom