Mh. Augustino lyatonga mrema mbunge wa vunjo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Augustino lyatonga mrema mbunge wa vunjo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by COMPLICATOR2011, Jul 27, 2011.

 1. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Tangu nianze kuangalia bunge la TZ kwa awamu hii na kuwaona wabunge mbalimbali wakichangia hoja kinachonivutia ni staili ya uchangiaji wa mbunge wa Vunjo mh. Mrema, yy hawezi kuchangia hoja pasipo kulitaja jimbo lake atajitahidi hata kama hoja ile haipo kabisa jimboni mwake atajitahidi aivute mpaka ahakikishe amejua ni namna gani vunja inaweza kufaidika na hoja hiyo. Kama anaona haiwezekani basi yuko tayari asichangie hoja hiyo. Hii imenipa hamasa kwani mm sijawahi kusikia jimbo langu likitajwa bungeni, nadhani ni kwa vile tunawakilishwa na gamba hlf limedanganywa uwaziri mdogo n/waziri.
  Mm naamini kuna wa tz hawajui kama tz tuna jimbo linaitwa BUYUNGU.
  Ndg. Wanajf mnaionaje hii staili ya mrema, mm naiunga mkono.
  NAOMBA KUWASILISHA
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  itabidi uitumie hiyo utakavyogombea huko bunyungu na uanze sasa kuweka mikakati kwani kila kitu kinawezekana if you put your mind on it.
  saa ya ukombozi ni sasa usisubiri kumuangalia jirani atafanya inabidi ujitose mapema.
   
Loading...