We need CHADEMA on the electricity issue | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We need CHADEMA on the electricity issue

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Majasho, Jul 27, 2011.

 1. M

  Majasho JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  The power rationing that began late last year is now a lot worse, thanks to our well-documented inability to plan for the future.
  As a result, Tanesco employees are now the only workers of a power utility in the world who are being paid for not supplying its customers with electricity. Come to think of it. Tanesco is paying its workers for rationing electricity instead of ensuring the constant availability of the same! Some things can only happen in Tanzania.


  We were earlier this month told that power would be switched off for up to 12 hours daily, but it is now not unusual for people to go without electricity for three consecutive days. Those who are lucky get electricity for not more than six hours a day.
  I would have expected Tanesco to at least have the decency to tell its customers that the rationing had been extended. It has not done this, opting instead to keep quiet as the country plunges into total darkness.


  Tanesco has some very tough questions to answer, and it is not surprising that its officials have been skipping radio and television talk shows on the power crisis. They know they have nothing to say that will appease the tens of thousands of its very angry customers.
  I am sure Tanesco will come tops if somebody decides to hold a survey on the most hated public institutions in Tanzania.

  Chadema were you at. we need major help
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa CHADEMA waje kufanya nini?
   
 3. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  It is true, the whole nation is silent. We are contented with what is taking place. No one seems to bother. The President is on tourism mission around the country and abroad. Tanzanians are happy, satisfied with life. Chadema please take lead, it is only you who can speak for the people.
   
 4. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,670
  Trophy Points: 280
  Chadema sasa waonekana lulu!Kaazi kwelikweli!
   
 5. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Sio lulu, at least they can dare to speak for the people and push the government to act. Nchi iko gizani, Rais, Waziri mkuu wanabembea mitaani. Nani aishtue serikali. Wanapeana likizo ili watu wapoe, maana wanajua ujuha wa sisi watanzania kuwa "we acha tu watapoa hao". Na kweli la Jairo limeisha tayari, tumepoa.
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  "Tumethubutu, Tumeweza, Tunasonga mbele na mgao wa giza"
   
 7. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Walete mawazo mbadala ya kutatua tatizo la umeme na kuondokana na mgao wa giza!!!
   
 8. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  AS long as Tanesco and the nation have no money to procure fuel for the hired plants let alone compensate owners, chadema's proposal that all these hired electricity generation plants brought dubiously in the country and have for a long time been draining our coffers be nationalized forthwith should implemented without further delays
   
 9. F

  FUSO JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,856
  Likes Received: 2,333
  Trophy Points: 280
  Watanzania sisi ni watu wa ajabu sana, yaani mgawo 18 hrs per day, bado watu wapo relaxed. Bado watu hao hao wanasimama kutuambia eti wanatekeleza ahadi walizotoa wakati ka uchaguzi kwa awamu.

  Tufike mahala tusema tunataka umeme na tumechoka na siasa za ajabu ajabu. Sasa hivi watu wote tutakimbilia IGUNGA na kusahau kabisa hili giza tulilonalo mpaka matokeo yatakapotangazwa.

  Kama watu wameshindwa kutatua umeme kwa miaka zaidi ya 4 msitegemee chochote ndani ya siku 21 ndugu zangu - mtakachopata pale ni porojo na mbwembwe na lugha tu. mara mradi wa songas, mara mradi wa mbezi juu, sijui makaa ya mawe ya kiwira, mara mradi wa gasi asilia mchuchuma, mwisho mtaambiwa umeme wa samadi kule vingunguti wa mega watts 30 - yaani mi nachoka kweli kweli na hizi hadithi ambazo hazitakaa zikageuka kuwa ukweli.

  watanzania amkeni, mnaliwa.

  Cha msingi ni wote tugome kufanya kazi kwa wiki nzima muone kama umeme hautawaka - wanunue toka nchi jirani sisi tunataka umeme - full stop.
   
 10. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Napita
   
 11. CHUAKACHARA

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,825
  Trophy Points: 280
  Ndio hao watanzania eti napita, we ya umeme hayakuhusu, ajabu, changia
   
 12. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Yaani walikoroge CCM alafu walinywe CDM?? Ili ikiwashinda wakitapika nao waonekane hawafai??

  CCM wamelikoroga Umeme... wahakikishe wanalinywa... na hii ni miezi tisa tu toka uchaguzi...

  Hili suala likiendelea.... We Wananchi are in deep shit kama wao CCM!! Hakuna wa kuweza kwepa!!
   
 13. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #13
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Chadema ndiyo wenye maono na dhamira ya kweli kuondoa kero za watanzania. Halafu mkuu Rejao avatar yako imeshabihiana na ubongo wako sana.
   
 14. M

  Majasho JF-Expert Member

  #14
  Jul 27, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 341
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  CHADEMA needs to lead the way. majority of Tanzanians dont care or they are just cool with it, this is why CCM takes the upper hand. Nyerere was right, we Tanzanians are either POOR, STUPID or we gat some weird diseases.

  I stand with STUPIDITY
   
 15. Mikael P Aweda

  Mikael P Aweda JF Gold Member

  #15
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 2,934
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  DW, I agree with you%
   
 16. y

  ybest Member

  #16
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tanesco wanatoa mgao wa giza (ELECTRIC-ECLIPSE) , sio wa umeme... wee 8hrs giza mmmh!!!!!
   
 17. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Daa KWA KWELI CDM IPO KINYWA KABISAA,
  HATA MWENYEKITI YANGU DEVOTA FARHM HAONGELEI HII KITU!
  BORA ANGEKUWA RAISI YEYE ANGERUHUSU MADUKA YA SIRAHA!
   
 18. O

  Omr JF-Expert Member

  #18
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  CDM akili yao yote iko Igunga, tatizo la umeme sio la kwao kwa sasa.
   
 19. matungusha

  matungusha JF-Expert Member

  #19
  Jul 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tatizo lako hutaki kufikiri by the way CDM wapo bungeni wanaibua hoja nzito likiwemo suala la umeme!!11
   
 20. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #20
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  majasho nakufahamu wewe ni gamba la kobe lililokakamaa, unafanya nini huko kwa nape wakati wewe mwenyewe unaitegemea chadema ikukomboe?
   
Loading...