Hivi ni kweli watanzania wamechoka na ccm?

Moghati

Member
Jul 5, 2011
88
7
Mimi sina majibu lakini watanzania wana majibu...kule igunga kuna baadhi ya watanzania...uchaguzi mdogo wa igunga utanipa baadhi ya asilimia fulani kupata majibu...vyama vikubwa vyote vitakuwepo kuhakikisha hakuna kuchakachuliwa na kama utachakachuliwa basi ww haupo makini...nahisi chadema hawatasingizia tena kuchakachuliwa......kama chadema watashnda ntaamini umma wa watz umeichoka ccm...
 
Unachukua igunga kama mfano wa watanzania wamechoka !igunga wananchi bado wana mwamko mdogo wa elimu ya uraia
 
Wananchi wamechoka ila igunga si kipimo tosha,fanya uchunguzi sehemu mbalimbali na utagundua.
 
Kwani wewe siyo mtanzania? Na kama wewe ni mtanzania je umechoka na CCM au hapana? Kama ni hapana wewe ni kilaza namba moja duniani!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom