Matumizi ya iPad Bungeni: Nahodha amuiga Zitto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matumizi ya iPad Bungeni: Nahodha amuiga Zitto?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo, Jul 28, 2011.

 1. Mzalendo

  Mzalendo Senior Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Waziri wa mambo ya ndani anasoma budget yake kama mhe zitto kupitia ipad mjengoni now!!
   
 2. m

  mtotomagwanda Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mara ya kwanza magamba kupitia wizara ya mambo ya ndani ya nchi,wanatumia ipad kuwasilisha bajeti yao.
   
 3. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Waziri wa mambo ya ndani naye hajapitwa na teknolojia,anatumia ipad kuwasilisha hotuba ya wizara yake.
   
 4. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kuiga kutamponza, hana jipya!
   
 5. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Kumbe hata wazanzibar wapo hahahahah safi sana!
  Sijui ataongelea polisi kuua raia kwa risasi za moto??
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  They area all followers. Wa kwanza ndio anang'ara!
   
 7. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #7
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  Raia wa kigeni ame advance! hivi ana umri gani yule? hata simuelewi elewi
   
 8. F

  FUSO JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,866
  Likes Received: 2,339
  Trophy Points: 280
  kadesa huyo. ]
  majuzi nimekutana na mbunge mwingine wa CCM (Jina kapuni) akiwa pale Samsung mlimani city anauliza nataka ile simu ipo kama laptop. anaulizwa ikoje anasuasua kujibu - mpaka mimi nikamsaidia ni ipad mweshimiwa? akasema ndiyo hiyo hiyo kijana asante kunisaidia. akalipa akasepa, nafikiri sasa hivi atakuwa ameajiri mwalimu wa kumfundisha matumizi.

  Mh. Zitto umezua balaa bungeni -- lol
   
 9. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #9
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Tunataka hoja. Na huyu nadhani atabanwa na akina Tundu Lissu manake suala la polisi kuua raia litajitokeza kwa mapana yake!! Atumie ipad ama ipod tunataka hoja na jinsi ya kutoa elimu ya uraia kwa polisi ili wasiue raia hovyo.
   
 10. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  kila kitu lazima kiwe na mwenye kuanza na wavumbuzi wa teknolojia hii hawakuanzisha hiyo ipad kwa ajili ya zito pekee yake
   
 11. nyengo

  nyengo JF-Expert Member

  #11
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 433
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  copy and paste
   
 12. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #12
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu wa kwanza ni nani vile? Mzungu au? Tunakuwa wa kwanza kusema ziwa victoria halikuvumbuliwa na Spake kwa kuwa kulikuwa na wasukuma na wakerewe huko ziwani kabla hajaja mzungu!! Leo tunakuwa wa kwanza kusema Zitto ndio wa kwanza!! Mimi nadhani wa kwanza ni mzungu au?
   
 13. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Nahodha is one of good leaders, anajifunza, msikivu, na ni kiongozi.

  You made TEHAMA FAMILY proud today, big up mambo ya ndani... Big up ict team pale wizarani.
  Congrats comrade.
   
 14. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anadhana akitumia ipad wabunge wa upinzani watamheshimu kisha hawatamuuliza maswali magumu!
   
 15. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,808
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  Tangu lini Zitto wa kwanza kutumia I pad ?.Inchi nyengine kifaa hiki mainstream,watoto wanakitumia kucheza games.La muhimu siyo nani katumia Ipad mwanzo bali convinience inayompa mtumiaji hasa for presention purpose.Navigation is second to non.
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Wa kwanza kwa kutumia ipad kwenye bunge letu la Jamhuri. Pengine kama Zitto hakufungua pazia wote wengekuwa kwenye makaratasi!
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Jul 28, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Maendeleo yanaanza hivyo! Hamkumsikia Lusinde juzi alivyodai kuwa aliyegundua pen baada ya kuona imepitwa na wakati akaanzisha calculator, baadaye computer. Kweli magamba kwa kufananisha visivyofanana.
   
 18. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #18
  Jul 28, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Wakuu huku Arusha Ngeleja katukatili, mtujuze kuhusu bajeti ya Mh. Lema, waziri kivuli mambo ya ndani ya nchi
   
Loading...