Uchangiaji bungeni

Uchangiaji bungeni

Sungurampole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Posts
984
Reaction score
206
Hivi ni nini mantiki ya kuorodhesha wachangiaji(108) wakati unajua hata iweje siyo zaidi ya 25 watakaochangia?
 
Mie naona kuwaandikisha wachangiaji alafu wengine wakakosa nafasi ya kuchangia inaweza saidia kuwa msingi wa kurekebisha kanuni ili kwa wakati mwingine wengi au wote waweze kuchangia.
 
Nadhani wabunge wa kuchaguliwa wangepewa kipaumbile maana wanawakilisha wananchi wakati wale wa kuteuliwa wako 'kiitikadi' zaidi.
 
Naona kwenye mikutano yao ya msekwa kile chama cha zamani wameambiwa hata kama huna la kuongea jiorodheshe kwani mna wapa gepu wale jamaa kuongea mno.Mwaka huu wamebanwa kweli kweli.
 
Back
Top Bottom