Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kamati kuu CHADEMA kufunika Arusha Alhamisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Aug 8, 2011.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Chadema kimeandaa mkutano mkubwa wa hadhara mjini Arusha Alhamisi wiki hii utakao ongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Freeman Mbowe Kwa kushirikiana na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibroad Slaa, Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe na wajumbe wa CC.

  Wajumbe wa CC watakaokwenda kuhutubia mkutano huo ni Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa; Mbunge wa Viti Maalum, Regia Mtema; Mwenyekiti wa baraza la Vijana Taifa wa chama hicho, Heche Suguta; Mbunge wa Viti Maalum, Chiku Abwao na Mbunge wa Nyamagana Ezekia Wenje.

  Wengine ni Mbunge wa Singida Mashariki na Mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu; Meya wa Manispaa ya Musoma, Kasululu Malima; Mwenyekiti wa Halmashauri ya Karatu, Lazaro Masai, na Mwenyekiti Manispaa ya Moshi, Jaffar Maiko. Pia atakuwapo Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na madiwani wengine wa Jiji la Arusha.

  Madiwani waliofukuzwa

  [​IMG]

  Kutoka kushoto: Estomih Mallah wa Kata ya Kimandolu, John Bayo wa Kata ya Elerai, Ruben Ngowi wa Kata ya Themi, Rehema Mohamed wa Viti Maalum na Charles Mpanda wa Kata ya kaloleni.

  Source: Nipashe
   
 2. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Tunawatakia kazi njema Makamanda wetu wote watakaoongoza hizo Harakati zakulikomboa Taifa.Wito wangu kwa Wananchi wote wa Arusha nawaomba wajitokeze kwa wingi sana kama walivyojitoa siku walipo wahaga wale wananchi wenzetu watatu waliouwawa, safari bado ni ndefu hawa Wasaliti watano waliodondoka wasitukatishe Tamaa tuendeleze Umoja wetu na Mshikamano wa khali ya juu hasa katika kipindi hiki kigumu chakupigania Haki,kulilia Utu wetu na kufikia Ukombozi wa kweli wa Taifa letu tulipendalo.
   
 3. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hivi alhamisi si bunge litakuwa linaendelea na majority naona ni wabunge inakuwaje hapa.
   
 4. l

  lebadudumizi Senior Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawana akili kila siku mikutano,maandamano watu tunataka kufanyakazi

   
 5. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Chama kwanza bunge baadae
   
 6. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  utakae kosa akili ni wewe utakaeacha kazi na kwenda kwenye maandamano.
   
 7. N

  Ngoks Member

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongereni MAKAMANDA WETU, PEOPLE'S POWER mpaka kieleweke!
   
 8. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kwani umelazimishwa kwenda?tuache sisi tusio na kazi(ajira)twende!
   
 9. l

  lebadudumizi Senior Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapana sijalazimishwa isipokuwa wizi na uvunjifu wa amani.Hatutaki mabomu,majeruhi,vifo.

   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Heri yako wewe mwenye akili.. Umeambiwa ni lazima uhudhurie? Si uende ukafanye kazi? Kama basi unayo hiyo kazi...
   
 11. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Heri CC-Chadema inawajali wapiga kura wake inakwenda kuongea nao kuliko Nec-CCM na kina Nape kazi yao kuwavua magamba wenzao bila hata kuonana na wapiga kura kwenye majimbo husika.
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hamtaki wewe na nani? Na hayo mabomu yanaletwa na nani?
   
 13. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unataka kufa kibudu, umezoea kupelekwa kikondoo kondoo? Ni uchaguzi wako Mungu akujalie. MAPAMBANO YANAENDELEA usiku, mchana, barabarani, wakati wa kazi, wakati wa faragha MPAKA KIELEWEKE
   
 14. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mchalii wa A-Town mpoooo; wenzenu tunakuja kuwashika hao WACHUMIA TUMBO walioamua kiwasalitini nyinyi wapiga kura Arusha!!!
   
 15. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ujumbe huu mfikishie pia Nape amekalia maneno na kuzurula mikoani kama hana akili nzuri.
   
 16. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Kwani Chadema wanamiliki mabomu?! au ndio mshajiandaa kuyalipua kwa kisingizio cha mkutano wa Chadema?!
   
 17. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Tunawasubiria sana hawa makamanda,pamoja kwa umoja na uadilifu tutalijenga taifa letu.
   
 18. N

  Nyankuba Member

  #18
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kila la kheri makamanda
   
 19. Facts1

  Facts1 JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 308
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Well kama inawajali kwanini iende kuonana nao leo na si kabla ya kuwafukuza.
   
 20. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Natoa pongezi nyingi sana kwa maamuzi hayo mazito, mkutano wa hadhara ni muhimu hata kama polisi watazuia lazima ufanyike, hatuwataki MADIWANI wapiga DEAL. Waende CCM wakapatiwe kazi, mchezo wote uliochezwa na Pinda na JK hapo umefikia kikomo. Diwani yeyote wa CDM atakayebainika kukisaliti chama ni OUT. Hatuogopi kwenda kwenye uchaguzi mdogo, hata kama ni Mbunge kapiga DEAL ni OUT.
   
Loading...