Serikali ya Tanzania haifanyi biashara!

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
507
Hivi kweli serikali yetu haifanyi biashara, je fedha inatoa wapi? Kama mtu hafanyi kazi na ana pesa then what is his best name and what can be his living ethics.
 
Still waiting for the answer after nearly almost 3 years
 
Ina fanya biashara kubwa kuliko kampuni yoyote inchini.
Tanesco, Tanapa, Bandari, Raillway, NHC, Tanroads, TRA, Ngorongoro creater na mashirika mengine mengi ni mali ya Serikali.
Hata hivyo utendaji kazi wa mashirika haya hauna tija kwa mtu maskini.
 
Ina fanya biashara kubwa kuliko kampuni yoyote inchini.<br />
Tanesco, Tanapa, Bandari, Raillway, NHC, Tanroads, TRA, Ngorongoro creater na mashirika mengine mengi ni mali ya Serikali.<br />
Hata hivyo utendaji kazi wa mashirika haya hauna tija kwa mtu maskini.
<br />
<br />
Paye,vat, leseni za biashara, leseni za utalii, kuuza viwanja ndo biashara za serikali
 
Back
Top Bottom