Ubunge Igunga: CUF waiomba NEC kuongeza kiwango cha Matumizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubunge Igunga: CUF waiomba NEC kuongeza kiwango cha Matumizi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amani Nyekele, Aug 14, 2011.

 1. Amani Nyekele

  Amani Nyekele Senior Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Chama cha Wananchi CUF kimemuomba Msajili wa Vyama vya siasa nchini kuongeza kiwango cha matumizi ya kampeni kwa kila chama kufikia TSH. milioni 80 ili kufanikisha kampeni zao.

  Source: Star TV habari saa 2 jioni.

  MTAZAMO WANGU:
  Pamoja na juhudi hizi za wapinzani Ukweli ni kuwa Wapinzani hawana chao Igunga kwa kuwa CHADEMA watagawa kura kwa ulafi wao wa madaraka na kukipa CCM ushindi wa kishindo. Ni vema CHADEAMA wakamuunga mkono mgombea wa CUF ambaye ana mtaji mkubwa wa wapiga kura Igunga kama walivyofanya NCCR Mageuzi.
   
 2. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  CUF Walishaachiwa nafasi hyo na CDM 2010 ila hawajafya lolote, hatuwezi kufanya upuuzi kuwaachia tena
   
 3. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake.vyama vyote vishindane tu.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  CUF wanahangaika

  CCM wapo kwenye 600M, almost all of it in "informal" way

  wacha wabaki kama nyumba ndogo tu
   
 5. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Leo NCCR Mageuzi wametangaza kutosimamisha mgombea Igunga kwa kuhofia kuzigawa kura za wapinzani.
  Hongera zenu NCCR Mageuzi
   
 6. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Halafu hawa NCCR wasitundanganye eti wanatakia mema upinzani, Km kweli wana malengo mazuri na upinzani MBATIA akafute kesi aliyomfungulia mdee, Sio igunga wanataka kudumisha upinzani halafu Kawe wanataka kuzamisha upinzani, Hii ni akili au matope? sisi tuna akili timamu sio km wao
   
 7. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Ukiwa unaleta mada wakati akili umezishuti upande mmoja huwezi kuona upande mwingine, tunavyojua CUF na CCM ni washirika kwa hiyo waangalie wasije kugawana kura wakaiacha Chadema ikipeta.
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  mara nyingine ni bora wapinzani ktk masuala ya kuiondoa CCM madarakani wawe wanaungana hii itawasaidia CDM inaonyesha hawana mizizi Igunga So it is better wawaunge mkono CUF.
   
 9. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kuunga mkono cuf ni km kunga mkono ccm,huwez kutazama vitu 2 tofaut kwa kutumia macho yako 2
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kuungana ni ujinga kwani lini wao watapata mizizi Igunga hata kama NCCR wangekuwepo sawa tu kila chama na mipango yake kwani kwenye uchaguzi mkuu CDM ilisaidiwa na nani, huwezi wewe kila uchaguzi ukategemea kuungana utakomaa lini na kujitegemea, washaurini CUF waungane na CCM watanyang'anya kura.
   
 11. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  mnyampaa nyekele umehama lini ccm?

   
 12. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  kwa maoni yako unapenda ccm ishindwe igunga au unauhadaa uma usijue kuwa ccm na cuf dugu moja matumbo tafauti eh! nina mashaka na uwezo wako wakuchambua mambo.

   
 13. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  kuunga mkono CUF ni kuunga mkono CCM B! Na hii inapaswa kuwa mbiu ya kampeni ya CHADEMA wawaambie wana Igunga; CUF ni CCM chanda na pete, kama wanataka kubadilisha CCM basi wasichague CUF na CCM waana ni mtu yuleyule!
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  CUF,CCM,CDM, kila mmoja anajifanya jimbo la Igunga lake, muda si mrefu tujajua
   
 15. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #15
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  hawajatuambia ukweli...hata wangegombea wasingepata hata kura 100.
   
 16. C

  CUF Ngangari JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 273
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cdm hawawezi kuungana na vyama vingine hii ni kawaida ya chadema kwani mmesahau sifa hiki chama 1 ubinafsi, 2. ubaguzi, 3. ukaskazini, 4 udini, uchaga,
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,775
  Trophy Points: 280
  pumba umba pumbaaaaa...........cuf si ndio ccm b?wabunge wa cuf wanafanya nn bungeni?majimbo yao yote yarudiwe uchaguzi ..alahhh
   
 18. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #18
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 394
  Trophy Points: 180
  CUF na CCM waliungana wakawa madarakani, CUF sio chama cha upinzani....nadhani ungesema CUF waiombe CCM iwaachie maanaa ndio wenye ushirikiano. Acheni hayo mambo ya kulaumu CDM; wanafanya siasa kadiri ya sheria na utashi wa chama...sio mtu unaibuka na mawazo yako leo unataka CDM wayafuate!

  I guess, I sound like a Chaga..Lol!
   
 19. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  UBINAFSI NI SERA YA CUF,UDINI WABUNGE WOTE WA CUF,NI MUJAHIDINA,UKABILA NI UPEMBA TUPU,KVANZIA 1995 .MTAWAAMBIA NINI WATZ WENYE AKILI. SLAA KAPATA KURA MORE DHAN 2 M .IDADI ZA KURA ZA CUF. PEMBA NA UNGUJA HATA ZA WAISLAAM WA MTWARA NA TANGA HAZIJAFIKA NUSU YA KURA
  ZA DR .
   
 20. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CUF wamegawa hela Igunga zimewaishia sasa wanaomba zingine tena, inabidi waende wakakope CCM.
   
Loading...