Serikali ya Kikwete isitishe kutoa elimu ya hali ya hewa chuo cha Kigoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali ya Kikwete isitishe kutoa elimu ya hali ya hewa chuo cha Kigoma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngalikivembu, Jan 28, 2011.

 1. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Wale wanaoitwa wataalam wa hali ya hewa hapa nchini wana elimu ya kubaitisha.Habari nilizozipata kutoka kwa rafiki yangu mmoja aliyeko huko anasema watu wengi wanaoingia huko Kigoma kilipo chuo chao hawana sifa kabisa ila nikwa sababu ni chuo kinachomilikiwa na serikali kupitia Mamlaka ya Hali ya hewa.Kwanza hakijasajiliwa.Na wengi wao wanapomaliza pale hawapewi vyeti kuonyesha wamefaulu kwa kiwango gani.

  Nimekiona cheti cha jamaa yangu,kipo kama chei cha kliniki hivi.Ameambiwa tu kuwa amefaulu bila kuonyesha amefaulu kiwango gani.Taarifa zinasema kuwa pale chuoni hakuna anayfeli mtihani.Kwa maoni yangu naona chuo hicho kisimamishwe kutoa elimu ya aina hiyo.Wako wapi NACTE?Mbona hawa jamaa ni wakali kwenye vyuo vya binafsi visivyo sajiliwa?
  Hivi sasa wametoa majina mengine ya kozi endelezi,wao wanaita class 2 course.
   
 2. D

  Daniel Stephano New Member

  #2
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiv ww unakijua chuo hicho au umeadicwa. Inawezekana ulikosa nafac . Na ictoshe wa2 wanapelekwa kujifunza kazi co kama vyoo vingine. Wa2 wanaferi kama kawaida. Wanafunzi wanao jiunga ni form 6 wenye 2 prciple na intervew kari. Kama ulikuwa hauna vigezo hivyo na ndomana ulikosa. Chuo hicho kinajulikanaa na nacte. Chuo kilianzishwa kabla ya vita ya uganda na tz, kikiwa kinategemewaa na nchi 3 east africa. Chuo kinatoa mafunzo kwa muongozo wa WMO. Chuo pekee tz kinacho toa kazi. Pole sanaaaaaaaa!!!!!!!!!!
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hebu jamani tunapoandika tuchukuwe muda kidogo ku edit tunacho-kiandika, namna hii ulivyoandika hata kama una ujumbe mzuri wa kuufikisha asomae inamwisha hamu.
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0

  Na wewe unaandika nini upuuzi huu, hii ni forum na si sms. Mnaliharibu jamvi, mnaharibu lugha na mnakuwa wavivu hata wa kuandika vizuri.

  Moderators mngekuwa mnazifuta posts namna hii zinazoandikwa makusudi kuharibu lugha yetu tamu.
   
 5. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hapo kwenye RED kuna mtu namfahamu hana sifa kati ya hizo....labda kama ungesema wa Form 4 sawa..........kuna member mmoja aliandika humu kuwa vyuo vetu siku hizi vimekuwa ni makampuni ya kutengeneza na kugawa vyeti...mtu unaweza uasiingie darasani lakn ukamaliza na cheti cha uhakika
   
Loading...