Simba Coach ni ya Idd? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba Coach ni ya Idd?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Said Bagaile, Aug 15, 2011.

 1. Said Bagaile

  Said Bagaile JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 686
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kampuni ya Mabasi iliyokuwa imeahidiwa Tenda ya Usafirishaji abiria Jijini Dar mara baada ya Uda kuuzwa kwa Simon Group ni ya Idd Simba?

  Naomba mwenye data za kampuni hii atumwagie hapa jamvini.

  Tanzania bila Matukio, haiwezekani.
   
Loading...