Tumesikia Kikwete anakwenda Marekani tena kusheherekea uhuru wa miaka 50 ya Tanzania mwishoni mwa mwezi huu. Hivi huyu mwanaccm hafahamu au hasomi nchi za marekani na donors wanazungumzia debt na deficit? Muda gani bado natafakari Kikwete alikaa kweli darasani au vitu gani wametumia kupata nafasi ya kuburuza watanzania kiasi hiki? Kinachosikitisha sana ni jinsi gani mipango ya kununua Watanzania wanaoishi Marekani inavyofanywa kwa nguvu na bidii. Jana nilikuwa nawasiliana na jamaa kwa email huko Marekani na anasema serikali kama kawaida wamefungua kitengo kingine chini ya Balozi wa Marekani, Mwanaid Maajar. Kitengo hiki kinatambulika kama 'dicota' dhumuni kubwa ni kuwaandikisha na kuwaorodhesha watanzania waliopo Marekani na kuwatumia kama wananchi wa Bagamoyo.
Maswali mengi ya kumuuliza balozi na serikali yao hii, hivi uhuru siku hizi unasherekewa Marekani? Kazi ya ofisi ya balozi wa Tanzania nini? na majukumu ya dicota nini? kama sio ufisadi na deals za ccm? Kitu kibaya hapa ni wale wenye njaa wanaonekana wapo Tanzania na hata nje ya nchi, ukizingatia watu kama William wapo Marekani kutuabisha na inatosha kabisa. Kinachompeleka Kikwete Marekani nini wakati yeye nchi yake wananchi wanakufa bila ajira na chakula? Tunachosihi hapa ni haya, Kikwete akijitokeza Washington tunawaomba watanzania mlio na uchungu na Taifa lenu muulizeni constitution anaandika nani? Mbona Marekani inayompa nafasi yeye kusafiri kila siku mbona katiba haishikiliwi na Obama? Kitu kingine ni hiki 'Kikwete una-solution gani kwa ajili ya economy na ukosefu wa umeme Tanzania, zaidi ya deals za mafuta? Uchaguzi ulishinda vipi mbona maths hazi-machi na ushindi wako?
"Information is just on your finger tips, use it and be useful in your society"
The Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) in collaboration with The Embassy of the United Republic of Tanzania in the United States is organizing the third convention of Tanzanians in the American Diaspora, to be held in Washington, D.C, on September 22-25, 2011 at the Marriott Washington Dulles Airporthotel. The theme of the conference this year is "Tanzanians in the Diaspora after 50 years of independence". Attendees will include individuals with ties to or of Tanzanian descent, international organizations, government and business leaders from Tanzania and United States, nonprofit and NGO's. The highlight of this conference includes a keynote address by the President of the United Republic of Tanzania, His Excellency Jakaya Mrisho Kikwete. The President has been invited and we are awaiting his response.
Tanzanians in the Diaspora after 50 years of Independence