Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tulidhani Mikataba mipya ya Madini Wazawa Lazima Wawakilishi na Kushirikishwa kwenye hizo Kampuni za Madini kama part owners? Ukiangalia wamiliki wa Sea Cliff Hotel ndio waanzilishi wa hii kampuni...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Hotuba ya makadrio ya matumizi ya fedha ya wizara ya habari vijana na utamaduni na michezo iliyowasilishwa na Dr Emmanueli Nchimbi ilijadiliwa kwa hisia kali. Jambo ambalo wabunge walipendekeza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na mvutano uliokuwepo kati ya wafanyabiashara na EWURA juu ya bei ya mafuta kumalizika kwa bei ya mafuta kushushwa tulitarajia kama tulivyoelzwa kuwa tuna akiba ya mafuta ambayo inaweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI MHE. MCHUNGAJI PETER MSIGWA, (MB) WIZARA YA MALIASILI NA UTALII, KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA 2011/2012. UTANGULIZI Mheshimiwa...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Wasalaam wandugu, Natumaini mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa letu. Leo nilikuwa naperuzi mada moja inayohusu BP kufunguliwa mashitaka na EWURA. Lakini nilipoona habari hiyo kukawa na jina la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imemshtaki katika Mahakama Kuu ya Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya BP, Engelbert Kongolo ikiiomba aeleze kwa nini asifungwe...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nchi ya India kwa siku takribani 4 imekubwa na joto kali la maandamano yaliyochochewa na mwanaharakati na mpigania haki Anna Hazare. Mzee huyu mwenye umri wa miaka 74 alikamatwa na polisi wa India...
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Shirika la Masoko ya Kariakoo linamilikiwa na Jiji la Dar (lenye asilimia 51) na serikali kuu (asilimia 49) - for the novices ni mgawanyo wa hisa kama uliokuwa kwenye Shirika la UDA. Kama UDA, SMK...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Waziri Mkuu Pinda Na Mbunge Halima Mdee Bungeni Wakijadili Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Ardhi Mdee aonya machafuko kugombea ardhi Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee aliitahadharisha...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
ni miezi kadhaa imepita tangu uchaguzi mkuuu ufanyike. majimbo ya ubunge karibia yote yamekwenda kwa vyama pinzani. sidhani kama kuna mkoa ambao hili limeshawahi kutokea hapo kabla.je huu mwamko...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
wadau nimepata taarifa kutoka Geita kuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Geita bwana Msukuma ametakiwa na madiwani wenzake wa CCM kujihuzuru nafasi yake ya uenyekiti wa Halmashauri...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Tuesday, 16 August 2011 23:34 AONYA MUDA WAO KUHODHI ARDHI KUBWA UMEKWISHA Waandishi wetu, Dodoma, Dar LICHA ya kupata wakati mgumu Bungeni, Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
MAMLAKA ya Udhibiti wa Chakula na Dawa (TFDA), imekifungia Kiwanda cha Kusindika Samaki cha Sea Product cha jijini Tanga kwa kosa la kuingiza shehena ya samaki kutoka nje ya nchi bila kibali cha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya manispaa Tabora mjini ameonja joto ya jiwe baada ya kutaka kuwachangisha walimu mchango wa sherehe za uhuru na mwenge walimu walimuchachafya kwa hoja kwenye ukumbi wa uhadhili...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu WanaJF, Hatimaye nafsi yangu imekuwa huru. Baada ya kutafakari kwa muda mrefu huku nikiumia moyoni nafsi yangu sasa imekuwa huru na niko tayari kufanya lile ambalo naamini...
0 Reactions
159 Replies
14K Views
Nianze kwa kumnukuu m/kiti wa kamati ya bunge ya mali asili na utalii, Ndg . Lembeli (MBUNGE) Amessema--- kuna watanzania wachache wanaoshirikiana na wa majangili katika kuiba na kusafirisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
msajili ameweka kiwango cha pesa ya kampeni igunga kwa kila mgombea ni sh 40000000 na jimbo la igunga lina kata 20. usafiri wa helkopta kwa si chini ya 8000000 je? vyama kutumia helkopta hamuoni...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Kuna wakati nashindwa kujua ya kuwa je waziri ngeleja ndio aliyewaambia tanesco kuanza tena mgao wa umeme mara baada ya kupita kwa bajeti yake au la ? lakini jambo lingine baya wakuu wa tanesco...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau natoa hoja ikibidi tuanzishe mkakati wa kuwashinikiza Mh W.Ngeleja na A.Malima mpaka wajiuzulu uwaziri wa wizara ya nishati na madini. Kuendelea kuwepo ofisini ni kutudhihaki na kutu tusi...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za sasa hivi ni kwamba Chama cha Magamba (CCM) wameshajipanga kumfukuza mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Geita. kandoro kisha tia timu mjini geita tayari kwa kusimamia zoezi hilo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…