Mgodi mwingine kujengwa Geita - Shanta Mining Co. Ltd Nani Mmiliki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgodi mwingine kujengwa Geita - Shanta Mining Co. Ltd Nani Mmiliki?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jan 24, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tulidhani Mikataba mipya ya Madini Wazawa Lazima Wawakilishi na Kushirikishwa kwenye hizo Kampuni za Madini kama part owners? Ukiangalia wamiliki wa Sea Cliff Hotel ndio waanzilishi wa hii kampuni ya Shanta Mining Co. Ltd.
  Baada ya hii habari chini Angalia Board of Directors – Mzawa ni yupi?? Huu Sio Wizi za Mali ya Watanzania? WAZALENDO HADI WALIOKO NJE YA NCHI HATUWEZI KUUNDA KAMPUNI ZA MADINI?

  Wanasema Chunya reserve is the second largest gold producing region in Tanzania.

  Resources updated as of June 2009:

  Inferred Resources
  (oz)
  Indicated Resources
  (oz)
  Measured Resources
  (oz)
  Total Resources
  (oz)
  Chunya
  488,117
  357,402
  845,519
  Mgusu
  614,000
  127,000
  741,000
  Singida
  402,088
  149,291
  480,546
  1,031,926
  Total
  1,504,205
  633,693
  480,546
  2,618,445


  News from TANZANIA DAIMA

  WIZARA ya Nishati na Madini, imeridhia ujengwaji wa mgodi mwingine mkubwa wa uchimbaji dhahabu katika Wilaya ya Geita, mkoani Mwanza.
  Hatua ya serikali kuridhia ujenzi huo wa mgodi utakaoendeshwa kwa ubia baina ya mwekezaji, wananchi na serikali kwa ujumla, imelenga kukamilisha ahadi zake mbalimbali za kuwanufaisha wananchi wanaoishi kwenye maeneo yenye rasilimali hizo.
  Kulingana na hali hiyo, wizara hiyo ya Nishati na Madini, imesema itatenga eneo maalumu kwa ajili ya wachimbaji wadogo kwenye machimbo hayo ya Mugusu ambayo mwaka 2009 serikali iliyafunga, baada kutitia na kudaiwa kuua watu saba kwa kufukiwa na kifusi cha udongo.
  Kamishna wa Madini nchini, Dk. Peter Kafumu, alisema hayo juzi wilayani Geita kwenye mkutano wa hadhara, wilayani hapa, mkutano ambao ulihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, akiwemo mbunge wa Geita, Donald Maxi.
  Alisema mradi huo wa mgodi utamhusisha mwekezaji wa kampuni ya Shanta Mining Co. Ltd kwa kumiliki asilimia 50 ya mradi huo, huku serikali ya kijiji cha Mugusu ikimiliki asilimia 40 na serikali kupitia STAMICO itakuwa na asilimia 10 katika mradi huo.
  “Mipango iliyopo sasa ni kujenga mgodi mkubwa katika machimbo ya Mugusu hapa Geita. Huu mgodi utaendeshwa kwa ubia kati ya serikali, mwekezaji na wananchi wenyewe...huu ni mradi wa kipekee,” alisema kamishna huyo.
  Alisema kabla ya mwezi ujao itaundwa kamati maalumu ya utekelezaji ambayo itasimamia mchakato na kuratibu utekelezaji wa mradi huo na kwamba kamati hiyo itawashirikisha wananchi na wadau mbalimbali akiwemo mwekezaji mwenyewe, STAMICO na wanakijiji.

  BOARD OF DIRECTORS
  Walton Imrie (58)
  Executive Chairman
  Mr Imrie is a member of the Audit and Remuneration Committees. He started his career in stockbroking in South Africa in the early 1970s, then took up employment with Shaw & Co in London. Mr Imrie started an independent financial consultancy business which eventually became the Swiss based asset management company, Kestrel SA. He has been involved with gold mining and exploration through a number of vehicles including Simmer and Jack Mines Limited and Southern Prospecting (Pty) Limited. The latter company listed Randex and Potchefstroom Gold Areas in the 1980s in South Africa. Mr Imrie was a board member of Francistown Mining Limited. Its principal asset is the Toronto and Sydney listed Lionore Mining Limited. He is currently a director and shareholder of Pan African Mining (Pty) Ltd, a Zimbabwean gold producer.
  Walter Vorwerk (58)
  Chief Financial Officer, B. Com, Dip Datem, CA (SA)
  Mr Vorwerk has extensive executive and operational experience within the Southern African mining industry and has held directorships at many industry related companies including Vaal Reefs Mining and Exploration Co. Limited (the precursor to AngloGold Limited), Western Deep Levels Limited, Driefontein Consolidated Limited and Rand Refinery Limited. Mr Vorwerk was Manager of Finance at AngloGold from 1995 to 2002, where he oversaw and was involved in corporate finance, merger, acquisition and disposal activities. He was the Finance Director of Aquarius Platinum Limited from 2002 to 2003. He is involved in a corporate finance practice in South Africa called Interstices (Pty) Limited.
  David Scott (54)
  Executive Director
  Mr Scott brings a wealth of experience in the mining sector, having spent his whole career working in the industry. David is a qualified geologist and a member of the Geological Society of South Africa, having earned a Bachelor of Science (Geology) from the University of the Witwatersrand and a Masters of Science (Geology) from the Stellenbosch University. In the past five years David has worked as an independent geologist focused on exploration project management in Tanzania and Madagascar and was the Technical Services Manager at the Bulyanhulu Mine of Barrick Gold in Tanzania.
  Paul David Heber (47)
  Non–executive Director
  Paul Heber is an investment manager and stockbroker with more than 20 years experience in global stock markets, following 3 years in the oil industry. Formerly with SGHambros, Nat West and WI Carr, he is now with bespoke boutique Savoy Investment Management, regulated by both the FSA in London and the FSB in Johannesburg. He has a broad pan-African clientele alongside his domestic UK, European and Bermudian business.
  Paul David Heber is currently a director of LonZim PLC and Savoy Investment Management Limited. He has no previous directorships or partnerships within the past 5 years.
  Ketan Patel (42)
  Non–executive Director
  Mr Patel is the chairman of the Audit and Remuneration Committees. He attended schools and colleges in Kenya, India and the United Kingdom. Mr Patel has worked extensively in trading organisations in the UK and since 1986 has traded agrocommodities internationally. He is a senior director of Exporting Trading (Pty) Ltd and is Managing Director of the Sea Cliff and White Sands Hotels in Dar es Salaam. Mr Patel is also a director of Cielmac Ltd, a property company in Tanzania.
  Gareth Taylor (52)
  Executive director, NHD Metalliferous Mining (Wits Technikon) GradDipEng (Wits)
  Mr Taylor’s portfolio will include the management of feasibility studies, imminent mining operations, and stakeholder relations and corporate affairs in Tanzania. Mr Taylor has extensive experience experience in deep level, intermediate, shallow underground and open cast mining in a number of African countries including Mali, Namibia, South Africa and Tanzania. For 28 years he was employed by AngloGold Ashanti where he was head of mining and planning for the company’s East and West África region and also managing director of the Geita Gold Mine in Tanzania. More recently Mr Taylor joined Barrick Gold, where he was executive general manager for Barrick Gold Tanzania and vice president for Barrick Gold Africa, responsible for all Barrick's operational interests in Africa.
  Maheshkumar Raojibhai Patel (53)
  Alternate Director
  Mr Patel serves on the boards of Cielmac Limited; Technobrain Limited; POA Rice Mills Limited; Kizota Agro Products Limited; and Hotel Sea Cliff Limited.
   
 2. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  :shock:
   
 3. n

  niweze JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  CCM wanataka wananchi tusijue hili na wanafikir sote tutakaa kimya...we are working on details. Hakuna kitu wawekezaji au investors in bongo land...
   
 4. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafadhali nijuze kwani chunya hawa shantagold wana percent ngapi za umiliki, stamico na wananchi nao wana ngapi
   
 5. Felixonfellix

  Felixonfellix JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 1,680
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hii ni hatari wazee
  SIna imani hata kidogo kama hiyo 40% ya wananchi ina-exist kihalisia
  Its another wizi wa hali ya juu tena tz
  Wadau mnijuze, hivi mkuu wa wilaya ya geita ana gawio la shs ngapi kutoka shanta?
  Maana geita nasikia anavuna vilivyo!!!
   
 6. h

  harakati83 Member

  #6
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  every day tunasema muda wa ukombozi ni sasa watu wanacheza tu na hii ccm magamba.let us join our hands and pull it out of madaraka!?
   
Loading...