Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo kulifanyika Kongamano kubwa lililoitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjro Mhe. Meja Jenerali Mstaafu Said Kalembo. Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa YMCA lilihudhuriwa na Wakuu wote...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Hizi ni Levels tano za viongozi kama zilivoanishwa na mwanataaluma John Maxwell, mi kila nikisoma naona Kikwete na Mwinyi waki hapo kwenye position, Mkapa hapo kwenye good leader na JK hapa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Leo nimesoma makala kurasa za mwisho mwisho ktk gazeti la Rai la wiki iliypita ( siyo la jana) kuwa kuna mjadala wa kichini chini kwamba bunge lisioneshwa live ili kupunguza aibu ya...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Nimebaki kujiuliza je wabunge makini walikuwa wapi wakati waziri wa Nishati William Ngeleja anatoa matamshi yasio na ukweli kwamba “ongezeko la bei ya umeme litakalotangazwa na serikali halitagusa...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Hawa wabunge wa CCM vipi? Mbona wanaachia wapiga kura wao wanateseka na kutetea mafisadi kula na familia zao?? Lisemwalo lipo- Kama halipo Mtikila angekuwepo Gerezani Leo. Sasa hawa wabunge wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauliza kama mgao umeanza upya..manake toka jana kijitonyama tanesco wanachukua umeme wao saa kumi na mbili asubuhi na kurudisha kumi na mbili jioni...hii imekaaje?
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Met police chief job applications lose with at least four in the running At least four police chiefs have applied to be the next commissioner of the Metropolitan police. The deadline for...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimemsikia Mh. Makala kwenye mchango wake bungeni leo akimnukuu Raisi &quot;kubali kuliwa ule&quot;. Hii ni kuelezea kwamba TANAPA watangaze biashara ya utalii ili wapate biashara!<br /> <br />...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wednesday, 17 August 2011 20:18 Katibu Mkuu Kiongozi Phillemon Luhanjo Neville Meena, Dodoma KAMATI ya Wabunge wa CCM imeendelea kuwa mwiba kwa Serikali baada ya jana baadhi yao kumtaja kwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Tunafuatilia mjadala kwa ukaribu sasa kuona mambo kwa leo
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Nadhani sasa Tanzania ndiyo tunafanya siasa, zamani ilikuwa nadra sana kuona mtu akisimama jukwaani na kukosoa serikali au taasisi ya serikali kwa ujasiri. Viongozi wetu wengi ambao ndiyo wamepewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Na Moses Mabula, Igunga CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Igunga mkoani Tabora kimekishutumu vikali Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuanza kampeni za ndani katika maeneo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juu ya udogo wake Zanzibar yaweza kustakimu na ikajikimu…KWAME Nkrumah, baba wa uzalendo wa Kiafrika, alikuwa akipenda kusema kwamba Waafrika kwanza waunyakue uhuru wa kisiasa na mingine, kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imelitaka Jeshi la Polisi kuwachukulia hatua za kisheria watu wanaokula hadharani na kuvaa nguofupi wakati huu wa mfungo mtukufu wa Ramadhani. Tamko hilo...
2 Reactions
106 Replies
10K Views
Wakuu; Kupitia tbc. Mh. Abood wa jimbo la morogoro ameonekana akiongea na simu yake ya mkono ndani ya ukumbi wa bunge... kwa kujificha. Wakati bunge linaendelea . Wakuu hii imekaaje aise!
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Shy-rose Bhanji, yule kada maarufu wa CCM aliyesimama kwenye mkutano wa UVCCM na kumwambia aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba, kuwa ameshindwa kukiongoza chama, sasa ameamua kumtolea...
1 Reactions
92 Replies
13K Views
Akiwa kama mchangiaji wa kwanza kutoka katika kambi ya upinzani muheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe amechangia kwa kina kabisa na pia kutoa ushauri wabure kwa serikali kuhusiana na mlima wetu wa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkoa wa mwanza umekumbwa na adha kubwa ya mgao wa umeme hali ambayo imepelekea mbunge wa nyamagana kuliomba bunge liahirishe mjadala wa bajeti ya wizara ya maliasili na utalii ili kujadili hoja ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Japan Bado wanahaha na Mionzi sisi Mambo Saafii Serikali ya Japan inafanya uchunguzi wa kina kwa vifaa vya kisasa (ambavyo sisi wala hatuna na tunashabikia kuwa samaki wako salama na hawana...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tumekuwa wepesi sana kuhadaika na wepesi sana kushangilia mambo yasiyokuwa na msingi huku Nchi inatafunwa na ukali wa masiha sasa hausemekani. Awali nilidhani labda ni kwa sababu ya Mfungo wa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…