Wabunge wa CCM ni mazoba?? Mbona wanaiacha serikali inayumba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wabunge wa CCM ni mazoba?? Mbona wanaiacha serikali inayumba?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Aug 17, 2011.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Hawa wabunge wa CCM vipi? Mbona wanaachia wapiga kura wao wanateseka na kutetea mafisadi kula na familia zao??

  Lisemwalo lipo- Kama halipo Mtikila angekuwepo Gerezani Leo.

  Sasa hawa wabunge wa ccm wanapewa posho watetee bajeti ipite ili wananchi wao wanyonywe na familia ya VASCO DAGAMA 11 izidi kutajirika??

  Angalia wanapewa posho kidogo wanaachia mabilioni ya mafuta yaende kwa Mizengwe na Vasco Da gama baba mlezi wa wauza unga na mafisadi???

  Wabunge wa ccm wanaacha maraisi wastaafu wanamiliki mashamba makubwa na wananchi wawe vibarua, wawe omba omba??

  Enyi wabunge wa ccm fikirieni na wananchi wenu, wapiga kura wenu, watoto wa wajomba zenu watoto wa baba zenu wakubwa/wadogo, mashemeji, jamani wabunge wa ccm. Mnamuachia VAsco Dagama atafune hela za wananchi kwa faida ya RZ ONE na familia yake.

  Wananchi wenu wanaumia kwa bei ya mafuta taa jamani wabunge wa ccm.
   
 2. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Kuna haja gani Dk Masaburi kuomba msamaha?
  Ni kweli wanafikiria kwa kutumia makalio.
  Kama wangetumia ubongo kufikiria wangejali future ya vizazi vijavyo na kuachana na bahasha za kupitisha budget
   
 3. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye RED kunaninyima raha ya kuchangia. Naogopa BAN!
   
 4. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Usitegemee lolote jipya wala la maana kutoka kwa wabunge wa Magamba kwani wanafikiri kutumia makalio yao!
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  &lt;br /&gt;<br />
  &lt;br /&gt;<br />
  Unless you have concrete evidence to buttress your statement, you should share your flummeries with your fellow lunatics. The whole story is a scuttlebutt and a mere calumny to traduce CCM's profile.
   
 6. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  <br />
  <br />
  wezi wa mali ya umma utawajua tu kwa kuteteana hawajambo!
   
 7. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,628
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Eee bwana Chimunguru,wamekula mpaka wamekuwa vipofu wanateteana tu ila wananchi wa sasa wanajua kila kitu. Wananchi watawahukumu kwenye sanduku la kura. Ila kuna tatizo moja, kura kuchakachuliwa. Vyombo vyote vya dola vimewekwa chini ya makalio yao. vyombo vya dola wanahongwa kwa hela zetu tulizoibiwa kwa njia za kifisadi.
   
Loading...