Siasa zetu: Kubali kuliwa Ule! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa zetu: Kubali kuliwa Ule!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MsandoAlberto, Aug 18, 2011.

1. M

MsandoAlberto JF-Expert Member

#1
Aug 18, 2011
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 1,019
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Nimemsikia Mh. Makala kwenye mchango wake bungeni leo akimnukuu Raisi "kubali kuliwa ule". Hii ni kuelezea kwamba TANAPA watangaze biashara ya utalii ili wapate biashara!

Huu unaweza kuwa msemo. Lakini unaonyesha ni jinsi gani tunavoweza kuwa 'loose' katika fikra! Tunakubali matokeo kirahisi sana! Bila kuliwa hatuli! Mbona tunaliwa na hatuli?

Siasa zetu ni za ajabu sana! Wananyama wametoroshwa, tumeliwa! Je tumekula? Hatujala!

Unahoji! Halafu unaunga mkono hoja!! Unaliwa halafu hauli unachekelea!!

2. Bishop Hiluka

Bishop Hiluka Verified User

#2
Aug 18, 2011
Joined: Aug 12, 2011
Messages: 4,101
Likes Received: 1,425
Trophy Points: 280
Hii ni hatari sana, matokeo yake tunaishia kuliwa weee,
kisha wanaondoka zao na kutuacha watupu!

Mungu ibariki Tanzania...

3. Cha Moto

Cha Moto JF-Expert Member

#3
Aug 18, 2011
Joined: Jul 2, 2011
Messages: 945
Likes Received: 4
Trophy Points: 35
Hatari sana ni kuwa hatujui tunaliwa WAPI?

4. M

Mkandara Verified User

#4
Aug 18, 2011
Joined: Mar 3, 2006
Messages: 15,443
Likes Received: 132
Trophy Points: 160
weee acha uhuni..

5. M

MsandoAlberto JF-Expert Member

#5
Aug 18, 2011
Joined: Nov 2, 2010
Messages: 1,019
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

Chamoto mi najua bana!

Loading...