Bungeni Dodoma: Mbunge Abood anaongea na simu ya mkononi

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Wakuu; Kupitia tbc. Mh. Abood wa jimbo la morogoro ameonekana akiongea na simu yake ya mkono ndani ya ukumbi wa bunge... kwa kujificha. Wakati bunge linaendelea . Wakuu hii imekaaje aise!
 
Bunge letu halina heshima ndio maana watu wanachapa usingizi hata bungeni kungewekwa kanuni mbunge anayefanya ndivyo sivyo anakula BAN ya nidhamu ninaweza kuwapa MODS wa hapa JF kuweka nidhamu sawa hapo mjengo
na nidhamu ikisimamiwa vizuri wafanya biashara wanakimbia bunge na watu wa maana wanaingia kujenga nchi
 
Wakuu; Kupitia tbc. Mh. Abood wa jimbo la morogoro ameonekana akiongea na simu yake ya mkono ndani ya ukumbi wa bunge... kwa kujificha. Wakati bunge linaendelea . Wakuu hii imekaaje aise!
Ni kosa kubwa sana la utovu wa adabu!... ushahidi huo upelekwe kwa Spika mara moja..
 
Wakuu; Kupitia tbc. Mh. Abood wa jimbo la morogoro ameonekana akiongea na simu yake ya mkono ndani ya ukumbi wa bunge... kwa kujificha. Wakati bunge linaendelea . Wakuu hii imekaaje aise!

Du! Kheri kuwa mkimbizi kwenye hii nchi, how can this happen... Spika please do your job.l
 
Sio kwamba bungeni mawasiliano yamekatwa yaani Simu haziwezi kuingia wala kutoka.!?
 
hiki chama jamani kimeshatuchosha aaagh. Huyo Jobless kazi kupambana na Chdm wenye hoja za msingi
 
jana kuna mbunge alipokuwa anachangia simu yake ili,uwa inaita!! ni mwana CCM mwenzetu.
 
Bahati yake ni CCM ..chadema ukionekana hata umeshika simu tunasoma kanuni, ni raha mkiwa wengi bungeni eeh..ila wasi*2 wangu ni kama microfon ingekuwa ON halafu ikawa ni call ya smolest house, ingekaa utamu hiyo..
 
Wakuu; Kupitia tbc. Mh. Abood wa jimbo la morogoro ameonekana akiongea na simu yake ya mkono ndani ya ukumbi wa bunge... kwa kujificha. Wakati bunge linaendelea . Wakuu hii imekaaje aise!

Kwa hili bunge la Makinda ni bora kuongea na simu kuliko kukaa kusikilliza upuuzi wa Naibu spika na mambo yake uchwara............
 
Huyo ni mfanyabiashara na mawasiliano ya simu ni muhimu sana kwake bila kujali yuko mahali gani.
 
Hapa suala ni kama kanuni zimevunjwa ama la.wanaozijua kanuni za bunge watujuze vingnevyo is not a big deal.
 
Kwani miaka yote na picha zote za wanaolala hawajajua tuu kuwa kuna mapaparazi ndani ya Bungeeee???
 
Back
Top Bottom