Kwa hali hii ya siasa: Mwalimu Nyerere angekuwepo angenyanyua mdomo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hali hii ya siasa: Mwalimu Nyerere angekuwepo angenyanyua mdomo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Anold, Aug 18, 2011.

 1. A

  Anold JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,381
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Nadhani sasa Tanzania ndiyo tunafanya siasa, zamani ilikuwa nadra sana kuona mtu akisimama jukwaani na kukosoa serikali au taasisi ya serikali kwa ujasiri. Viongozi wetu wengi ambao ndiyo wamepewa dhamana kuongoza taifa na wanachi kwa ujumla ndiyo wamekuwa wakwanza kuwasaliti wananchi na kuwaangusha.

  Mwalimu nyerere kama kuna mambo ambao yalimkera na kumfanya wakati mwingine aonekane ni mbabe ni kuhusiana na viongozi kukiuka miiko ya uongozi . Hakuwavumilia na alidiriki kuwakaripia hadharani.

  Hata hivyo kwa wakati huo ilikuwa sio wengi ambao walikuwa wanafanya mambo ya hovyo. Tanzania ya leo ni tofauti, maadili yameporomoka na miko ya uongozi nafikiri unaweza kuipata nyumba ya makumbusho, hivi mwalimu angekuwa hai hali hii ingemfikisha wapi? Angeanza na lipi akaacha lipi?
   
 2. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  hata sisi tulikerwa na opereshi vijiji na ile hamisha hamisha watu . Ila hatukuwa na mahala pa kulalamika!
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mbona wakati wake kulikuwa na ulanguzi wa bidhaa muhimu. Mbona kulikuwa na mafisadi lukuki lakini wakati ule waliitwa wahujumu uchumi.

  Nafikiri ingempasa awaombe radhi wa Tanzania, kwni umasikini wenu huo chanzo chake ni yeye. Aliweka mbele siasa na kusahau taaluma. Kila kitu alikifanya kisiasa na sio kwa kuzingatia uchumi wa nchi yenu.
   
 4. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Lakini hao wahujumu uchumi hawakukamatwa na kuswekwa lupango? Leo wahujumu uchumi ndio wanaoshika serikali. Big differencfe!
   
 5. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  yeye ndie aliyeifikisha nchi yenu hapo ilipo. Hv kulikuwa na sababu gani kupeleka makao makuu ya nchi kuwa dodoma? Ni nchi gani duniani umesikia wameamisha makao makuu kwa zaidi ya miaka 30?

  Suala la umeme kama angefuata ushauri wa kitaalamu kujenga kule stigo george (Selou ) na sio Mtera. msingekuwa na tatizo la umeme.

  nafikiri angewaomba radhi watanzania kwa maamuzi yake.
   
Loading...