Mgao umeanza tena?

Nauliza kama mgao umeanza upya..manake toka jana kijitonyama tanesco wanachukua umeme wao saa kumi na mbili asubuhi na kurudisha kumi na mbili jioni...hii imekaaje?
<br />
<br />
mmh!kwani mgao uliisha bandugu?huku mikoani maumivi palepale!
 
Kweli nyie wehu yani mnafikiri kuwa Tanesco wanafanya kazi kwa kusema .....e.g nakuwe na umeme basi inatokea waache vijana wafanye kazi yao nnchi imejipanga hii.
 
Nani kasema mgao umesha mkubwa.temeke baadhi ya sehemu hatuna umeme toka jana.bajeti imepita mtafanya nini?
 
Nauliza kama mgao umeanza upya..manake toka jana kijitonyama tanesco wanachukua umeme wao saa kumi na mbili asubuhi na kurudisha kumi na mbili jioni...hii imekaaje?
Mambo ni Zagazaga na imekaa Zagazaga, bahasha za JAIRO ziligawiwa kwa wabunge na Mawaziri Zagazaga.
 
manake toka jana kijitonyama tanesco wanachukua umeme

Serikali ya CCM imewadekeza sana nyinyi, hata ninyi wa kijitonyama mnataka umeme? ili mfanyie nini kwa mfano? Haya madai kuna siku watu wa mbagara charambe nao watadai taa za bara barani kama wa magomeni.
 
wewe ni TaHiRa
 
Mkuu hivi kuna siku mgawo uliisha. Nami pia ni mkazi wa Dar lakini sijaona mgawo umeisha!! Haushi hadi 2015
 
Bora hata ile bahasha ya Jairo Simbachawele asingeisanua pale bungeni nahisi haya maumivu yasingekuwepo!
 
hahahah pole sana ulisahau ilikuwa danganya toto kwa ajili ya bajeti

na kama waliweza kutoa umeme kwa week 3 kwa nini waanze mgao???
 
Yeah, bajeti imepita then back to square one. Watu wanakula kuku kwenda mbele......
 
The Boss;2372377]mgao hukuisha
nafuu ilikuja ili bajeti ipite tu..
sasa kila mtu ki mpango wake
Ndugu hiyo nafuu unayozungumzia niipi huku sijawahi kuona siku inapita umeme haujakatika au tukapata umeme hata kwa masaa nane yani ukikatika saa moja asubuhi nimpaka saa tano usiku au nyie wa jijini mnapendelewa?
 
Nauliza kama mgao umeanza upya..manake toka jana kijitonyama tanesco wanachukua umeme wao saa kumi na mbili asubuhi na kurudisha kumi na mbili jioni...hii imekaaje?

Sidhani kama kuna mgawo tatizo lenu hamjalipa bili za Tanesco mnazodaiwa mnasingia mgawo !!!
 
Walikuwa wanakula mingo waipitishe bajeti yao naada ya kupita na Mhe Zitto Zuberi Kabwe kuisifia ref; Mwananchi la juzi wameamua kufanya kweli sasa najiuliza inakuwaje ina maana hata zile bahasha za khaki zilifika kwa wapambanaji kiasi mpaka wasione ubovu wa bajeti na kuwa ni danganya toto au makamanda wetu hawana uweledi wa kutosha kuona blah blah na ukweli?

Ifike mahali haya maswala tuyaamue wenyewe tusiwategemee wanasiasa kwani wao ndio wametufikisha hapa tulipo!
 
Back
Top Bottom