Mbowe afichua: Mamilioni yakusanywa kupanda Mt. Kilimanjaro; Miundombinu bado mibovu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe afichua: Mamilioni yakusanywa kupanda Mt. Kilimanjaro; Miundombinu bado mibovu!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ndallo, Aug 17, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Akiwa kama mchangiaji wa kwanza kutoka katika kambi ya upinzani muheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe amechangia kwa kina kabisa na pia kutoa ushauri wabure kwa serikali kuhusiana na mlima wetu wa Kilimanjaro kuhusiana na uchafuzi wa mazingira. Amesema serikali kwakupitia KINAPA wanakusanya mapato ya dola za kimarekani milioni 40 kwa mwaka halafu mazingira ya hifadhi ya mlima Kilimanjaro kukosa vyoo vya kutosha na watalii pamoja nawapagazi kujisaidia maporini na kuharibu mazingira hiyo ni aibu na amemtaka waziri Maige kulifanyia kazi swala hilo kwakua ni aibu kwa taifa.

  Waziri Maige kwakukubali shauri hilo alionekana pale bungeni akiwa anatingisha kichwa kukubaliana na ushauri huo wa muheshimiwa Mbowe. Kweli hata mimi nikiwa kama mdau wa sekta hii ya utalii naunga hoja hii 100 kwa 100 kwa kauli hii ya muheshimiwa Mbowe ni aibu tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru na tumeshakusanya mamilioni ya dola lakini vyoo vya kutosha tunashindwa kujenga kwenye hifadhi ya mlima huu wa Kilimanjaro?
   
 2. e

  ebrah JF-Expert Member

  #2
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asante mh. kwa kuliona hili, mi nimepanda huu mlima kwa kweli uwezo wetu katika kutunza tulivyo nvyo ni mdogo mno, pantisha kule!
   
 3. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #3
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Tutawaomba wahisani watujengee hivyo vyoo.
  Miaka hamsini toka tupate uhuru vyoo bado vimetushinda!!!
  Go to hell CCM.
   
 4. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Siku zote hawa magamba wanapewa ushauri mzuri ishu inakuja kwenye utekelezaji.
   
 5. Queen Kyusa

  Queen Kyusa JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  CDM ni wakombozi wa ukweli wanaonesha jinsi walivyo na uchungu na nchi ukifananisha na magamba wamelewa madaraka.
   
 6. FIDIVIN

  FIDIVIN Senior Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hata akikohoa au akitoa pumba razima utasifia tu, mambo ya zidumu fikra za m/kiti
  Pole sana mpambe.
   
 7. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kila mtu amesikia kama hzo pongezi ungempigia simu au ungemuandikia email maana naona mada imekaa kupeana sifa zisizo na kichwa wala miguu
   
 8. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbowe siku hizi anafanya kazi za Pinda... Ni bora serikali ivunje baraza la mawaziri then Mbowe awe PM muone mambo yake kiutendaji sio kama pinda pinda wetu..
   
 9. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Can't imagine a drug addict becoming the state's PM.
   
 10. m

  mfngalo Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  <br />
  <br />
  Mwita ur mad wo told u mh.Mbowe z a drug addicted
  By ze way nlisahau km we ni gamba wenzio wanajitoa we upo,nmekucheck sn ol ze tym unapenda kuponda ht km ni ukwel nakudis ile mbaya mwita n dis lyk ur behaviour ov much noz
  Go 2 hell n rot zer lyk undertaker
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hizi ndio siasa za maji taka. Tunatakiwa kushindana kwa hoja na sio hizi cheap personal attacks! Mh Mbowe amekuwa drug addict lini?
   
 12. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Kwa upande wa vyoo, Tanzania inatia aibu. lakini kuna kaimprovement kidogo sana. Naona kama si muhimu kweni maana vya JKT ndio vilivyotulea. Ukitaka kujua zaidi nenda shule ya pugu, na mashule mengine ya serikala uone serikali inavyowaandaa vijana katika mambo ya vyoo.
   
 13. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Kwa jinsi ufisadi ulivyo juu watu wanataka kula 10% ndio maana vyoo havijengwi, wanapanga mabei makubwa labda hata hiyo millioni 40 dola inaweza isitoshe
   
 14. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Mbona hapa tulipo tuko kama tunaongozwa na wavutaji wa unga tena waliobobea? viongozi wetu dont know whether they are coming or going wapo wapo tu
   
 15. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #15
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Kwa kuwa wewe umelelewa katika malezi ya kutolewa kasoro kila mara
  basi huna shukrani. Unaona nongwa mwingine akisifiwa. Shame on you!
   
 16. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #16
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Vipi kwani alikuwa anavuta na baba yako?
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ku unahangaika sana
   
 18. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  A useful and effective drug addict is far better than these other guys (you know what I mean) who can only sleep during the house sessions.
   
Loading...